Walinzi wa Rais wa Kenya walivyokufa kirahisi

Walinzi wa Rais wa Kenya walivyokufa kirahisi

The Head of State termed the accident “unnecessary” directing all agencies involved to expeditiously investigate the incident.

“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,” the statement read.
Kabla ya kunishambulia mie na kutoa hoja kwamba kifo hakiepukiki,angalieni hizo para mbili hapo juu
 
Kabombe ni mwanachama wa ccm ..., naomba akili za namna hii zisiwakilishe wala kufananishwa na akili za watanzania wengine ...

Ndio maana imebidi Wakenya tupite kimya, hawa jamaa wakishapewa buku kadhaa pale Lumumba za kushinda kwenye mitandao ya jamii huropokwa kila kitu.
Lori lilikua limebeba kemikali, likalipuka na kuua watu 40, ina maana hao askari miili yao ilifaa kuhimili moto wa kemikali.
 
Kama walinzi wa Rais wanaweza kufa kwa ajali,vipi maisha ya Rais akiwa safarini.
Tena genge hili la wanamgambo wa RECCE,tunaaminishwa wana uwezo wa hali ya juu sana lakini kumbe wameonesha kuwa ni wepesi kabisa.Inawezekana wanatumia usafir wa Ford Cortina za 1970.

Ndio maana special forces za Tanzania tukiwaonesha tunapasua matofali kwa vichwa na kulala juu ya misumari sio mbwembwe tunamaanisha walinzi wetu walivyotayari kukabiliana na hali ngumu.Mlinzi wa Rais unakufa ndani ya V8,una BP au hiyo gari sio bullet proof?

4 members of President Uhuru’s security team died in a road crash on Tuesday along the Isiolo-Marsabit highway, while one is in hospital with injuries.

The four were part of the elite GSU Recce Company that protects the President. According to reports, they were part of an advance team headed to Lonyangalani to carry out security surveillance and inspection ahead of Uhuru’s visit today to commission the wind power project.

The Toyota Landcruiser they were travelling in burst its right tyre, causing the vehicle to roll several times. They died on the spot.

Just last week, a vehicle in Uhuru’s motorcade hit a 70 year old man in Mumias.

- See more at: 4 Uhuru Recce Squad Bodyguards Die in a Road Accident
Wengine 11 hawa hapa

President Uhuru Kenyatta has cancelled his tour to Narok County following the Saturday night accident that claimed the lives of at least 33 people along the busy Naivasha -Nakuru highway.

In a statement issued on Sunday afternoon, State House indicated that President Kenyatta had postponed the visit scheduled for Tuesday, 13 December 2016, so he can visit the families of the 11 General Service Unit (GSU) officers who perished in the accident.

“The President’s visit to Narok scheduled for Tuesday, 13 December 2016, has been postponed so he can visit with the families of the 11 officers from the VIP protection team of the General Service Unit (GSU) killed in a tragic road accident on the Naivasha-Nakuru Road last night,” State House spokesman Manoah Esipisu stated.

Mr Esipisu earlier on confirmed that the 11 GSU officers provide VIP protection, including to His Excellency the President.

The officers from the ‘G’ Company were travelling in a Toyota Land Cruiser registration number GK B 961G back to Nairobi after the presidential coverage in Bomet.

Meanwhile, President Kenyatta expressed his condolences to the families of all those affected by the Saturday evening accident that occured after a Uganda-bound lorry ferrying inflammable material lost control, rammed into other vehicles and exploded.

“President Uhuru Kenyatta wishes to express his condolences to the families of all the bereaved, including the young families of the gallant officers from the GSU. He also wishes all the injured quick recovery,” a statement issued by State House spokesman Manoah Esipisu read in part.

The Head of State termed the accident “unnecessary” directing all agencies involved to expeditiously investigate the incident.

“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,” the statement read.
Wana jf mpunguze ushamba jameni, hio Ni aibu tupu...
Jambo la kwanza, hebu tueleze vipi wapasua matofali wangeepuka, wakati inasemekana wengine walikufa ikiwa mikono yao bado iko kwa usukani, hata hawakupata nafasi ya kuomba Mara ya mwisho, wakati hilo Lori lilipuka Na kurusha hayo mafuta yanachoma zaidi ya petroli... AMA unafikiri wapasua matofali wako Na ngozi isiyo chomeka? We enda hospitali ukapimwe akili.

Alafu bullet proof, Si fire proof, wala Si water proof, bullet proof inamaanisha unaweza kuzuia risasi pekee, ukiirushia kombora la RPG gari lote linafumuka....

Alafu kumbuka hio ilikua Ni advance team, advance team ikitumwa Hua inaenda incognito, yani ki undercover vile, kwa barabara utakuta wanasimama kwa msongamano Na magari mengine, vio huwa wamefunga Na Hua viko tinted hata hutajua Ni kina nani wako ndani..
Ikija kwa rais kukua kwa ajali Kama hio, Si rahisi kufanyika, sababu rais akiwa anasafiri huko, magari yote mengine Hua yanasmamishwa Na kutolewa barabarani, tena gari la rais lenyewe huwa linaekwa hapo katikati ya msongamano, utakuta Kuna Kama magari matatu mbele Na nyuma kabla ufikie rais, tena hayo magari yote yako Na madereva walio tayari kujitoa mhanga kuzuiya mtu yoyote kufikia rais, hio ndo maama rais Ni nadra Sana Rais asafiri Na usiku kwenda mbali.. maana usiku Hua hauoni mbali, hauoni myuma, unaona tu kile kinacho limikwa Na taa la gari....
 
Ndio maana imebidi Wakenya tupite kimya, hawa jamaa wakishapewa buku kadhaa pale Lumumba za kushinda kwenye mitandao ya jamii huropokwa kila kitu.
Lori lilikua limebeba kemikali, likalipuka na kuua watu 40, ina maana hao askari miili yao ilifaa kuhimili moto wa kemikali.
Hamuwezi kupita huku,nyie ni watu wa majisifu mno lakini ni wazembe kupindukia hebu msome Rais wako hapa chini
“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,”
Hiyo tank ilifuata nini huko?nani aliiruhusu?Je hakuna chembe chembe za Al shabab katika mtandao wa ulinzi wa Rais?
Je Rais angekuwamo ingekuwaje?
Haishangazi kupeleka vifaru kwenye mall!
 
Naamin wanapokuwa mafunzon wanapewa mbinu nyingi ila kufa huko huendana na mtu aliyelala usingiz ndani ya gari lakin mara nyingi wapiganaji tunafundishwa body flexibility na hii husaidia mwili kuendana na mazingira ya aina yoyote bila kudhulika
Nguvu ya njie huwa kubwa zaid ya ile ya ndani inapotokea ukalazimisha zilingane yaan ukakaza mwili tegemea lolote linaweza tokea kuvunjika ama kifo wapiganaji wa mapigano ya kawaida mf karate judo nin si zaid ya wale presidential security wao hupewa uwezo zaid
 
Nina mashaka makubwa na uwezo wa kikosi cha ulinzi wa Rais wa Kenya.Kinaonekana ni dhaifu mno kama wanamgambo wenzao wa KDF
Tuseme kama ndio lingekuwa shambulio la kigaidi na Rais wao yumo hali ingekuaje?
 
Wana jf mpunguze ushamba jameni, hio Ni aibu tupu...
Jambo la kwanza, hebu tueleze vipi wapasua matogali wangeepuka, wakati inasemekana wengine walikufa ikiwa mikono yao bado iko kwa isukani, hats hawakupata nafasi ya kuomba Mara ya mwisho, wakati hilo Lori lilipika Na kurusha hayo mafuta yanachoma zaidi ya petroli... AMA unafikiri wapasua matofali wako Na ngozi isiyo chomeka? We ends hospitali ukapimwe akili.

Alafu bullet proof, Si fire proof, wala Si water proof, bullet proof inamaanisha unaweza kuzuia risasi pekee, ukiirushia kombora la RPG gari lote linafumuka....

Alafu kumbuka hio ilikua Ni advance team, advance team ikitumwa Hua inaenda incognito, yani ki undercover vile, kwa barabara utakuta wanasimama kwa msongamano Na magari mengine, vio huwa wamefunga Na Hua viko tinted hata hutajua Ni kina nani wako ndani..
Ikija kwa rais kukua kwa ajali Kama hio, Si rahisi kufanyika, sababu rais akiwa anasafiri huko, magari yote mengine Hua yanasmamishwa Na kutolewa barabarani, tena gari la rais lenyewe huwa linaekwa hapo katikati ya msongamano, utakuta Kuna Kama magari matatu mbele Na nyuma kabla ufikie rais, tena hayo magari yote yako Na madereva walio tayari kujitoa mhanga kuzuiya mtu yoyote kufikia rais, hio ndo maama rais Ni nadra Sana Rais asafiri Na usiku kwenda mbali.. maana usiku Hua hauoni mbali, hauoni myuma, unaona tu kile kinacho limikwa Na taa la gari....
Utawadanganya wakamba wenzio
Mbulula kama hawa eti ni walinzi wa Rais wa kenya
Aliemwambia ukitoa mimacho ndio utamtisha gaidi ni nani

ep-150729472-jpg-maxw-960-jpg.356669
 
Kwa akili zako Hivi unadhani kuna binadamu anaweza kuzuia kifo ata awe Nani kifo kiko pale pale
 
Hamuwezi kupita huku,nyie ni watu wa majisifu mno lakini ni wazembe kupindukia hebu msome Rais wako hapa chini
“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,”
Hiyo tank ilifuata nini huko?nani aliiruhusu?Je hakuna chembe chembe za Al shabab katika mtandao wa ulinzi wa Rais?
Je Rais angekuwamo ingekuwaje?
Haishangazi kupeleka vifaru kwenye mall!

Wewe utakua umepiga viroba asubuhi, labda subiri hangover isshe ndio uingie JF kwanza. Maana naona unajichanganya na hata haujui mada umeanzisha inaongea kuhusu nini, unakurupuka tu na chochote unachowaza. Soma ulichoandika mwanzo, wacha kubalika badilika ovyo.

Umeanza na kuhoji uwezo wa kufa kiulaini kwa askari wa RECCE, kwamba ni kama ulitegemea miili yao iwe na uwezo wa kuvumilia moto wa kemikali, kwamba wewe unadhani wapasua matofali wenu wana uwezo huo.
Fahamu ajali ya hivyo haina ukomando wala nini, ikitokea mnakufa tu maana huo moto unauguza kila kitu kilichomo karibu.

Unasema askari wetu waliingiza kifaru ndani ya mall, na nyie hapa hii picha mliingiza kifaru ndani ya nyumba ya watu
2fru.jpg
 
Gonga hapa uone ulivyoshiriki kuwapamba wanamgambo wako Zilipigwaje? walinzi wa ikulu ya Kenya vs american Secret Serice
 
We jamaa kwahyo uki lala juu ya misumali hauwezi kufa na ajali au vp?nieleweshe mkuu
 
Back
Top Bottom