Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trying to score cheap points upon a tragedy is pure evil ...i just cant
Muntu ya Bana ya kongo ...kwelii ikowaongeaaSidhani kama kuna mbabe kwenye ajali!!!
Kama walinzi wa Rais wanaweza kufa kwa ajali,vipi maisha ya Rais akiwa safarini.
Tena genge hili la wanamgambo wa RECCE,tunaaminishwa wana uwezo wa hali ya juu sana lakini kumbe wameonesha kuwa ni wepesi kabisa.Inawezekana wanatumia usafir wa Ford Cortina za 1970.
Ndio maana special forces za Tanzania tukiwaonesha tunapasua matofali kwa vichwa na kulala juu ya misumari sio mbwembwe tunamaanisha walinzi wetu walivyotayari kukabiliana na hali ngumu.Mlinzi wa Rais unakufa ndani ya V8,una BP au hiyo gari sio bullet proof?
4 members of President Uhuru’s security team died in a road crash on Tuesday along the Isiolo-Marsabit highway, while one is in hospital with injuries.
The four were part of the elite GSU Recce Company that protects the President. According to reports, they were part of an advance team headed to Lonyangalani to carry out security surveillance and inspection ahead of Uhuru’s visit today to commission the wind power project.
The Toyota Landcruiser they were travelling in burst its right tyre, causing the vehicle to roll several times. They died on the spot.
Just last week, a vehicle in Uhuru’s motorcade hit a 70 year old man in Mumias.
- See more at: 4 Uhuru Recce Squad Bodyguards Die in a Road Accident
Wengine 11 hawa hapa
President Uhuru Kenyatta has cancelled his tour to Narok County following the Saturday night accident that claimed the lives of at least 33 people along the busy Naivasha -Nakuru highway.
In a statement issued on Sunday afternoon, State House indicated that President Kenyatta had postponed the visit scheduled for Tuesday, 13 December 2016, so he can visit the families of the 11 General Service Unit (GSU) officers who perished in the accident.
“The President’s visit to Narok scheduled for Tuesday, 13 December 2016, has been postponed so he can visit with the families of the 11 officers from the VIP protection team of the General Service Unit (GSU) killed in a tragic road accident on the Naivasha-Nakuru Road last night,” State House spokesman Manoah Esipisu stated.
Mr Esipisu earlier on confirmed that the 11 GSU officers provide VIP protection, including to His Excellency the President.
The officers from the ‘G’ Company were travelling in a Toyota Land Cruiser registration number GK B 961G back to Nairobi after the presidential coverage in Bomet.
Meanwhile, President Kenyatta expressed his condolences to the families of all those affected by the Saturday evening accident that occured after a Uganda-bound lorry ferrying inflammable material lost control, rammed into other vehicles and exploded.
“President Uhuru Kenyatta wishes to express his condolences to the families of all the bereaved, including the young families of the gallant officers from the GSU. He also wishes all the injured quick recovery,” a statement issued by State House spokesman Manoah Esipisu read in part.
The Head of State termed the accident “unnecessary” directing all agencies involved to expeditiously investigate the incident.
“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,” the statement read.
suala la ukomando na mbele ya kufa lisikupe shaka amekufaa ADOLF HITLER akina musolini huko ARAN KOTER MANI MURAL OMARY (CHONGO). mbele ya kifo hakuna ukomando pia lisikupe shida suala kukalia au kulalia misumari hizo ni mechanism ya presure ......kukiwa na area kubwa basi presure inakuwa ndogo so kukalia misumari mingi kwa level moja ni sawa na kukalia godoro la dodoma KWANIN HAKUKALIA MSUMARI MMOJA AU MIWILI AREA ingekuwa ndogo presure ingekuwa kubwa ingemtoboa .......unakuta na huyo analalamikia mapenzi!!
duh! basi si haba nimekuwa na mwehu kabisasuala la ukomando na mbele ya kufa lisikupe shaka amekufaa ADOLF HITLER akina musolini huko ARAN KOTER MANI MURAL OMARY (CHONGO). mbele ya kifo hakuna ukomando pia lisikupe shida suala kukalia au kulalia misumari hizo ni mechanism ya presure ......kukiwa na area kubwa basi presure inakuwa ndogo so kukalia misumari mingi kwa level moja ni sawa na kukalia godoro la dodoma KWANIN HAKUKALIA MSUMARI MMOJA AU MIWILI AREA ingekuwa ndogo presure ingekuwa kubwa ingemtoboa .......
presure is invesly propotional to then area ..at containly the force of the body ...kukalia misumari SIO UKOMANDO MWEUU WEW
Suala ni kwamba wamekufa kipumbavu usilete utetezi wa kijinga hapa.Wana jf mpunguze ushamba jameni, hio Ni aibu tupu...
Jambo la kwanza, hebu tueleze vipi wapasua matofali wangeepuka, wakati inasemekana wengine walikufa ikiwa mikono yao bado iko kwa usukani, hata hawakupata nafasi ya kuomba Mara ya mwisho, wakati hilo Lori lilipuka Na kurusha hayo mafuta yanachoma zaidi ya petroli... AMA unafikiri wapasua matofali wako Na ngozi isiyo chomeka? We enda hospitali ukapimwe akili.
Alafu bullet proof, Si fire proof, wala Si water proof, bullet proof inamaanisha unaweza kuzuia risasi pekee, ukiirushia kombora la RPG gari lote linafumuka....
Alafu kumbuka hio ilikua Ni advance team, advance team ikitumwa Hua inaenda incognito, yani ki undercover vile, kwa barabara utakuta wanasimama kwa msongamano Na magari mengine, vio huwa wamefunga Na Hua viko tinted hata hutajua Ni kina nani wako ndani..
Ikija kwa rais kukua kwa ajali Kama hio, Si rahisi kufanyika, sababu rais akiwa anasafiri huko, magari yote mengine Hua yanasmamishwa Na kutolewa barabarani, tena gari la rais lenyewe huwa linaekwa hapo katikati ya msongamano, utakuta Kuna Kama magari matatu mbele Na nyuma kabla ufikie rais, tena hayo magari yote yako Na madereva walio tayari kujitoa mhanga kuzuiya mtu yoyote kufikia rais, hio ndo maama rais Ni nadra Sana Rais asafiri Na usiku kwenda mbali.. maana usiku Hua hauoni mbali, hauoni myuma, unaona tu kile kinacho limikwa Na taa la gari....
Gari ya ikulu tair inapasukaje? Au ndo kubana matumiz, afu mlinzi anafia kwenye steering madereva wa mabasi yaliyochoka huku kwetu kijijini tairi zinapasuka Na abiria wanakufa lkn unaambiwa dereva kakimbia kapitia wapi Na mafunzo Hana.Ushaambiwa chanzo cha ajali ni tairi kupasuka, so hapo kuna uzembe gani?