Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda