Walinzi wa Ranchi na maeneo ya ufugaji ya familia ya JPM huko Chato na Biharamulo waondolewa rasmi. Je, ufugaji utaendelezwa na Mama Janeth?

Walinzi wa Ranchi na maeneo ya ufugaji ya familia ya JPM huko Chato na Biharamulo waondolewa rasmi. Je, ufugaji utaendelezwa na Mama Janeth?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii.

Je, familia ya Mama Janeth itaweza kusimamia mradi huu au atauza mifugo? Akiuza mifugo ardhi aliyomiki itaenda Wapi? Kwa wanakijiji au itabaki bila matumizi au kuendelezwa?

Ulinzi wa eneo la Karagwe Benako utaendelea kuimarika kuepusha uvamizi wa mifugo kutoka nchi jirani kama zamani? Mbuga mpya usimamizi utaimarika au utadorora?
 
Back
Top Bottom