Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa.

Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu

Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe

Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya

Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi

Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
 
Kumbe huwa mnatusema eeh[emoji849]
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.

Wamezidi wamekuwa kero
 
Dawa ndogo tu hawana nguvu, wakikuzingua wazingue
 
Ukifuata utaratibu hutasumbuliwa, ukipeleka ujuaji utashughulikiwa kijeshi.

Doria na operation za jwtz ni za hatari sana. Lazima ziwe na uvunjifu wa hak za binadam
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia.

Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
Ungemwambia "wewe ni mpumbavu sijawai ona"
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA

Uwaga wajinga sana wale
 

Wale ni wehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…