Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #21
Mpumbavu kutoka suma jkt[emoji16][emoji16]
Mapumbavu hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu kutoka suma jkt[emoji16][emoji16]
Kama kuna watu wanakera ni hawa watu aisee yani kero kweli kweli
Hayo hayatuhusu
Kwani wamelazimishwa kufanya kazi
Waache wawaburuze kazi bila malipo.. watawatandika na jela hawatoenda
Hawa vijana ni wangese sana
Then wanafaidika na nini Mbona wanazidi kupauka
Sasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Pole sana kama unataka magazeti yaandikwe jichanganyeDawa ndogo tu hawana nguvu, wakikuzingua wazingue
Usiwaseme mkuu.....kama ukiweza kuwapa wape tu.Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Moja ya jambo baya sana n askari kutumia nguvu badala ya intelligent yake vyema ,Nguvu itumike panapohitajika hasa ukitokea ukahidi wa amri au maelekezo maalum kulingana na post/Compound aliyopo kwa muda Huo.Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa
Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu
WALINZI WA SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe
Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya
Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi
Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
Utumwa uko pale pale hautakuja kuisha kamwe...Aseeeh Dah!Sasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?
Kinachoshangaza sasa mkataba wa ofisi inayohitaji huyo askari nasikia gharama zake kwa askari mmoja ni zaidi ya laki 9.
Inasikitisha. Naambiwa makampuni mengi ya ulinzi ndiyo mtindo wa biashara yaoSasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?
Kinachoshangaza sasa mkataba wa ofisi inayohitaji huyo askari nasikia gharama zake kwa askari mmoja ni zaidi ya laki 9.
Ndo ivo braza ukiwa nacho wakiomba watoe tuu tuwasamehe bureUtumwa uko pale pale hautakuja kuisha kamwe...Aseeeh Dah!
Yaa ni kweli kabisaInasikitisha. Naambiwa makampuni mengi ya ulinzi ndiyo mtindo wa biashara yao. wanalipwa pesa nyingi kwa lindo moja lakini wao wanawalipa mshahara kiduchu wafanyakazi wao na kujipatia faida kubwa. Wakikuona mbishi na mlalamishi wanakuvizia lindoni kukutafutia au kukuundia kosa.
Nimekuelewa vyema BroNdo ivo braza ukiwa nacho wakiomba watoe tuu tuwasamehe bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c unawajibu kwan maji c hayo mtoni, au maji gani?Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahPale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA