Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Sasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?

Kinachoshangaza sasa mkataba wa ofisi inayohitaji huyo askari nasikia gharama zake kwa askari mmoja ni zaidi ya laki 9.
 
Pale Chuo cha Usafirishaji wanafunzi huzuiwa kuingia Chuoni kama hawajavaa soksi. Ndio, soksi!. Mkuu wa Wilaya husika kaingilia kati kuwaonya hao Walinzi kuhusu vitu vidogovidogo kama hivyo.
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Usiwaseme mkuu.....kama ukiweza kuwapa wape tu.
 
Wajameni tuwekane sawa, ukisema wale ni walinzi wa suma jkt maana yake wanalinda suma jkt ni sawa na kusema walinzi wa CRDB.

Hawa ni mgambo wa kampuni ya suma (na kama kampuni zingine za ulinzi) inayomilikiwa na JKT. kwa hiyo wako chni ya sheria za mgambo Tanzania, tatizo wao wanajiona kama ni sehemu ya JKT.

Kama anakuzingua na wewe unamzigua kinoma wala hawezi kukupeleka jeshini na hata mjeda hawezi kuingilia ugomvi wenu.

Tusiwapaishe wakajiona nao kama wajeda.
 
Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa
Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu

WALINZI WA SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe

Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya

Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi

Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
Moja ya jambo baya sana n askari kutumia nguvu badala ya intelligent yake vyema ,Nguvu itumike panapohitajika hasa ukitokea ukahidi wa amri au maelekezo maalum kulingana na post/Compound aliyopo kwa muda Huo.

5/5
 
Sasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?
Kinachoshangaza sasa mkataba wa ofisi inayohitaji huyo askari nasikia gharama zake kwa askari mmoja ni zaidi ya laki 9.
Inasikitisha. Naambiwa makampuni mengi ya ulinzi ndiyo mtindo wa biashara yao

Wanalipwa pesa nyingi kwa lindo moja lakini wao wanawalipa mshahara kiduchu wafanyakazi wao na kujipatia faida kubwa.

Wakikuona mbishi na mlalamishi wanakuvizia lindoni kukutafutia au kukuundia kosa.
 
Inasikitisha. Naambiwa makampuni mengi ya ulinzi ndiyo mtindo wa biashara yao. wanalipwa pesa nyingi kwa lindo moja lakini wao wanawalipa mshahara kiduchu wafanyakazi wao na kujipatia faida kubwa. Wakikuona mbishi na mlalamishi wanakuvizia lindoni kukutafutia au kukuundia kosa.
Yaa ni kweli kabisa
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua. Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c unawajibu kwan maji c hayo mtoni, au maji gani?
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom