cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kule Kilimanjaro Airport jinsi wanakagua magari pale getini
Ni wavunjaji wa haki za kibinadamu kabisa
Mtu ameshaona dirishani abiria waliopo ndani ya gari ameshakagua mizigo
Bado anakuja kufungua mlango mmoja baada ya mwingine kisa tu kaona aliyevaa skirt fupi Ili akague hips vizuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app