[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kule Kilimanjaro Airport jinsi wanakagua magari pale getini
Ni wavunjaji wa haki za kibinadamu kabisa
Mtu ameshaona dirishani abiria waliopo ndani ya gari ameshakagua mizigo
Bado anakuja kufungua mlango mmoja baada ya mwingine kisa tu kaona aliyevaa skirt fupi Ili akague hips vizuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale Chuo cha Usafirishaji wanafunzi huzuiwa kuingia Chuoni kama hawajavaa soksi. Ndio, soksi!. Mkuu wa Wilaya husika kaingilia kati kuwaonya hao Walinzi kuhusu vitu vidogovidogo kama hivyo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Matunda siyo chakula!Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
Mkuu kuna kitu kinaitwa Suma Mnazaleti?Suma jkt au suma mnazaleti au sukuma gang mimi wote siwaelewi..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Leo nashinda nacheka sana kwa comment zenu wanaJf!Naona kule Kilimanjaro Airport jinsi wanakagua magari pale getini
Ni wavunjaji wa haki za kibinadamu kabisa
Mtu ameshaona dirishani abiria waliopo ndani ya gari ameshakagua mizigo
Bado anakuja kufungua mlango mmoja baada ya mwingine kisa tu kaona aliyevaa skirt fupi Ili akague hips vizuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] muvi zinakuharibu akili sanaUkifuata utaratibu hutasumbuliwa, ukipeleka ujuaji utashughulikiwa kijeshi.
Doria na operation za jwtz ni za hatari sana. Lazima ziwe na uvunjifu wa hak za binadam
Mh! Surely mkuu!Sasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?
Kinachoshangaza sasa mkataba wa ofisi inayohitaji huyo askari nasikia gharama zake kwa askari mmoja ni zaidi ya laki 9.
Nilinunua ugali na maharage kwa mama ntilie nikaenda kumwambia mgonjwa watakaohitaji awapatie akikosa atupe tu maana bila hivyo nisingeingia.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Matunda siyo chakula!
Mkuu baadaye ikawaje kumfikishia mgonjwa wako mahitaji yake?
Kwa karipio la Dc Heri jana pale Nit nadhani watajirekebisha pakubwa!
Vinginevyo wakiendelea kufanya mzaha na vitimbi, kampuni itakosa wateja na ajira zao kuwepo mashskani.
Wanafaidika mnavyolalamika bila faida/matokeo yeyote
Sasa kama wanalipwa 140000 kwa mwezi na nauli na chai na chakula wanajitegemea wataacha kuomba?
Kinachoshangaza sasa mkataba wa ofisi inayohitaji huyo askari nasikia gharama zake kwa askari mmoja ni zaidi ya laki 9.
Pole sana kama unataka magazeti yaandikwe jichanganye
Pale Chuo cha Usafirishaji wanafunzi huzuiwa kuingia Chuoni kama hawajavaa soksi. Ndio, soksi!. Mkuu wa Wilaya husika kaingilia kati kuwaonya hao Walinzi kuhusu vitu vidogovidogo kama hivyo.
Usiwaseme mkuu.....kama ukiweza kuwapa wape tu.
Wana stress za kukosa ajira uko jkt wametumikia miaka miwili bure kitendo walitegemea kuwa wajeda ajira zenyewe wakakosa ndo shida iyo.
🤣🤣🤣🤣Dawa ndogo tu hawana nguvu, wakikuzingua wazingue
wajameni tuwekane sawa.. ukisema wale ni walinzi wa suma jkt maana yake wanalinda suma jkt ni sawa na kusema walinzi wa CRDB. Hawa ni mgambo wa kampuni ya suma (na kama kampuni zingine za ulinzi) inayomilikiwa na JKT. kwa hiyo wako chni ya sheria za mgambo Tanzania, tatizo wao wanajiona kama ni sehemu ya JKT. Kama anakuzingua na wewe unamzigua kinoma wala hawezi kukupeleka jeshini na hata mjeda hawezi kuingilia ugomvi wenu. Tusiwapaishe wakajiona nao kama wajeda.
Moja ya jambo baya sana n askari kutumia nguvu badala ya intelligent yake vyema ,Nguvu itumike panapohitajika hasa ukitokea ukahidi wa amri au maelekezo maalum kulingana na post/Compound aliyopo kwa muda Huo.
5/5