Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Wanakera haswaaa. Wachache sana wenye utu
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Kwahiyo Mkuu umeamua uje ututangaze hapa JF? Utapita tena!
 
Nadhani ungeweka vizuri tuhuma zao ili tupime wamekosea nini, pengine walikuwa wanatimiza wajibu ila wewe ukakwazika.
 
Si hamuelewi mtadundwa mpaka mkome
 
Hasa suma wa bugando hospital wale jamaa wapo harsh sana kwa wagonjwa
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Ujakosea mfano, kwenye mavyuo wanafanya kukagua mabegi ya wanafunz wakikuta vitu vya kula wanaomba, na pia wanaombaomba Ela za soda au niletee zawadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…