Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #101
Ni kwanini unaona sawa Watanzania wenzetu kudhulumiwa.
Wale watu sio wa kuwaonea huruma wana mambo ya ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwanini unaona sawa Watanzania wenzetu kudhulumiwa.
Kwanini?Wale watu sio wa kuwaonea huruma wana mambo ya ajabu sana
Kwahiyo Mkuu umeamua uje ututangaze hapa JF? Utapita tena!Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.
Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Nadhani ungeweka vizuri tuhuma zao ili tupime wamekosea nini, pengine walikuwa wanatimiza wajibu ila wewe ukakwazika.Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa.
Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu
Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe
Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya
Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi
Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
Plus dharau za raiaStress
Mishahara midogo life ngumu wazee
Ova
Nadhani mtoa mada atakuwa amedundwaYah,nlisahau hilo
Ova
Ujakosea mfano, kwenye mavyuo wanafanya kukagua mabegi ya wanafunz wakikuta vitu vya kula wanaomba, na pia wanaombaomba Ela za soda au niletee zawadi.Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.
Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Si hamuelewi mtadundwa mpaka mkome
Stress
Mishahara midogo life ngumu wazee
Ova
Plus dharau za raia
Nadhani mtoa mada atakuwa amedundwa
Hasa suma wa bugando hospital wale jamaa wapo harsh sana kwa wagonjwa