Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Kwahiyo Mkuu umeamua uje ututangaze hapa JF? Utapita tena!
 
Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa.

Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu

Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe

Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya

Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi

Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
Nadhani ungeweka vizuri tuhuma zao ili tupime wamekosea nini, pengine walikuwa wanatimiza wajibu ila wewe ukakwazika.
 
Hasa suma wa bugando hospital wale jamaa wapo harsh sana kwa wagonjwa
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Ujakosea mfano, kwenye mavyuo wanafanya kukagua mabegi ya wanafunz wakikuta vitu vya kula wanaomba, na pia wanaombaomba Ela za soda au niletee zawadi.
 
Back
Top Bottom