Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Ujakosea mfano, kwenye mavyuo wanafanya kukagua mabegi ya wanafunz wakikuta vitu vya kula wanaomba, na pia wanaombaomba Ela za soda au niletee zawadi.

[emoji23][emoji23] muwape na sumu kabisa wanapenda kuomba omba sana
 
Ukifuata utaratibu hutasumbuliwa, ukipeleka ujuaji utashughulikiwa kijeshi.

Doria na operation za jwtz ni za hatari sana. Lazima ziwe na uvunjifu wa hak za binadam
mnachoshindwa kujua, nyie ni walinzi sio askari.
 
Huwezi kuja jukwaani, kuwaongelea negativity Suma jkt, itakuwa kuna jambo baya wamekufanyia, na usije ukawachezea wale, utapigwa hadi ushangae, na hawa fungwi popote.. Kesi inaisha kijeshi..
Itoshe kusema wewe jamaa ni PUMVUMBA!!!

Sasa lile ni jeshi kweli!?? Wale na Maasai tofauti ni UNIFORM tu!!
 
Hawa jamaa kusema kweli ni KERO Sana nikiwa UDOM, washaniweka chini kuanzia saa8 usiku Hadi saa2 asubuhi kwa issue za kipumbavu sana, Afisa usalama wa chuo alipokuja aliwatukana haswaa!!


Kichekesho sasa ile wamefika tu wakawa wanatuzuia kuingia ndani mwisho saa6 usiku na kujisomea mwisho saa5!!

Sema tulienda nao taratibu Sana Hadi wakalegea!!
 
Na mtindo wa siku hizi wa maofisi mengi ndo wanawaweka walinzi Front Office eti wanafanyakazi kama masecretary wakaticustomer care hawajui kabisa
 
SUMA upande mwingine ni wafitini sana. Wanawafitinisha wafanyakazi na mameneja maofisini.

Yaani walipo SUMA, watu kufukuzwa kazi ni kawaida.

Washenzi sana hawa mgambo
Kama huja Fanya makosa huwezi kufukuzwa kazi tatizo la wabongo wadokozi sanaa
 
kama ulikuwa kwenye akili yangu hawa ni wapuuz suma jkt siwapend hata punje bora nichane pesa kuliko kumpa takataka ya sumajkt
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
mpe hela kama huna kausha,mbona omba omba hamuwanangi mnawapita tu na vibaby walker vyenu!!!!
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.

Mshahara wa laki 2 utafaa nini mkuu?
Hapo take home 180K, kama unakuwa uko vizuri saidia tu wana maisha magumu.
SUMA ni shirika la Serikali (JKT) lakini kinachofanyika ni zaidi ya unyonyaji.

Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia Shirika linatoza si chini ya 500K kwa mlinzi mmoja lakini mlinzi huyo anaambulia 180K kama take home ikiwa ni baada ya makato ya NHIF

Shame on you SUMA management
 
Back
Top Bottom