Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #121
Mtoa mada, utakuwa umechezea kichapo cha Suma jkt
Ndo mwisho wako wa kufikiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada, utakuwa umechezea kichapo cha Suma jkt
Ujakosea mfano, kwenye mavyuo wanafanya kukagua mabegi ya wanafunz wakikuta vitu vya kula wanaomba, na pia wanaombaomba Ela za soda au niletee zawadi.
Yah,nlisahau hilo
Ova
Usikariri maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakupiga mnooooo.
Narudia tena watakupiga mnooooo
mnachoshindwa kujua, nyie ni walinzi sio askari.Ukifuata utaratibu hutasumbuliwa, ukipeleka ujuaji utashughulikiwa kijeshi.
Doria na operation za jwtz ni za hatari sana. Lazima ziwe na uvunjifu wa hak za binadam
Unaakili fupi... Kwani kuwa mlinzi kuna shida? Hata huyo mwanajeshi ni mlinzi, police ni mlinzi, tofauti ipo kwenye majukumu ya kazi tu..mnachoshindwa kujua, nyie ni walinzi sio askari.
Huwezi kuja jukwaani, kuwaongelea negativity Suma jkt, itakuwa kuna jambo baya wamekufanyia, na usije ukawachezea wale, utapigwa hadi ushangae, na hawa fungwi popote.. Kesi inaisha kijeshi..Ndo mwisho wako wa kufikiria
Itoshe kusema wewe jamaa ni PUMVUMBA!!!Huwezi kuja jukwaani, kuwaongelea negativity Suma jkt, itakuwa kuna jambo baya wamekufanyia, na usije ukawachezea wale, utapigwa hadi ushangae, na hawa fungwi popote.. Kesi inaisha kijeshi..
Wewe Msenge, hujui chochote kuhusu Suma jkt..Itoshe kusema wewe jamaa ni PUMVUMBA!!!
Sasa lile ni jeshi kweli!?? Wale na Maasai tofauti ni UNIFORM tu!!
Ndo mfanye kazi za ulinzi sasa na sio uaskariUnaakili fupi... Kwani kuwa mlinzi kuna shida? Hata huyo mwanajeshi ni mlinzi, police ni mlinzi, tofauti ipo kwenye majukumu ya kazi tu..
Atawapiga mafala ila sio mimi
Kama huja Fanya makosa huwezi kufukuzwa kazi tatizo la wabongo wadokozi sanaaSUMA upande mwingine ni wafitini sana. Wanawafitinisha wafanyakazi na mameneja maofisini.
Yaani walipo SUMA, watu kufukuzwa kazi ni kawaida.
Washenzi sana hawa mgambo
UnaferiNdo mfanye kazi za ulinzi sasa na sio uaskari
kama ulikuwa kwenye akili yangu hawa ni wapuuz suma jkt siwapend hata punje bora nichane pesa kuliko kumpa takataka ya sumajkt
Unamset ajazwe manunduDawa ndogo tu hawana nguvu, wakikuzingua wazingue
mpe hela kama huna kausha,mbona omba omba hamuwanangi mnawapita tu na vibaby walker vyenu!!!!Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.
Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.
Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.