Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uhakika wataionyesha wakati Obama anamaliza kipindi chake lol.
Naona walinzi wetu hawakuwa outnumbered na Waturuki this time around.
![]()
Mkuu Icadon salute.....lete mavitus ya G20......please
Who cares bana aaaagh! Hata kama angeenda nazo mia kwani ndio nini? Inapokuja mambo ya Obama, umekuwa kama jitu jinga lisilo na kazi....unaboa mwanawane!! LOL
Wakuu wengine tunataadharishwa tusiendeshe magari yaliyo left hand lakini hili gari lamsheshimiwa ni left hand....kuna usalama hapo?
...Duh, hapa hao walinzi waliobobea wa joji kichaka nao walikuwa wapi? yaani kimetupwa kiatu cha kushoto, halafu cha kulia...
Aisee Mkuu Icadon,
I was a bit suprised to see:the marine standing beside the door is at attention and smartly saluting his commander-in-chief . Mr Obama returns the salute,'very lightly' but then decides to shake the startled marine's hand!!
naomba kuuliza hivi: Je Raisi Obama alivunja/hajui taratibu za ki-protokali pale alipompa mkono yule marine kwa ishara ya kumsalimia hata baada ya ku-msaluti??
**Hii hata kwa wale walopitia JKT, wanajua haiwezekani.ila kwa wasiyopenda mambo ya kijeshi,Obama was showing yet another side of his 'Cool' nasikia huwa anawaita watu walomzidi umri 'sir',well what have you got to say abt that??
Nasikia O'Bummer kaenda London na teleprompter 12!!!
Mkulu Icadon mimi nimekuvulia tai maana kofia haitoshi, manake madude sio mchezo .... Kama una clip ya Jaluo na National Geo kwenye AF1 tumininie hapa nzima nzima .....Maana ni very entertaining na educative.....Ndo maana mi nimesema siondoki hapa JF ng'o!!!
Hmmm, mbona hujasema wameenda na magari matatu ya kumbeba?
Poa sema demu wa geti kali..hata akivunja ungo sasa watakaompenda ni kazi sana!
Magari matatu sio hoja kwa sababu ni lazima a move kutoka sehemu moja hadi ingine. Sasa mi prompter 12 ya nini? Si tumeambiwa huyu jamaa ni kichwa...ana IQ kubwa...sasa hajui anachotaka kuzungumzia? Never mind tumeshaona madhara ya yeye kuongea bila prompter....