Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mbona mikono yao wanaweka hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mikono yao wanaweka hivyo?
Reason for this is that if there's a stabbing attempt or something similar you can quickly react and slap/push down the attacking arm quickly, without having to waste precious moments on raising your own arms and then changing the direction of movement of your hand (losing more time) and pushing theirs down. In most of other pictures, where the hands are at the general hip level, it's just a regular 'ready for action' stance.-AY
Hehehehehe ulikuwa wapi siku mbili hizi? Haya ndio mambo anayosema KuHaNI, kuwa yanayokimbiza watu JF!!.....LOL
Mkuu Icadon salute.....lete mavitus ya G20......please
Aaah mtaalam wa mambo ya u spy huyo bana...lol...just kidding
Kauli mtu hizo, nitamwambia Invisible lol...alafu sikujibiwa ilo swali hivi ile thread bado iko wazi?
Halafu kajamaa naona kapo "AWOL" toka kaumbuke na ile thread yake ya kizushi....lol
wajimini picha za g20 na obama huko iraq niaje?natumaini kijiji kizima kilijaa watu wake tu,kwenye press conference waandishi hawakuvuliwa viatu?
Icadon et al......vipi huku.....naona mmekusahau
Icadon et al......vipi huku.....naona mmekusahau
Mkuu season ya soka na NBA imefikia patamu ndio maana jukwaa la siasa nalipitia mbali.
...😀 bora umuulize, hatupi pumzi kule!...Icadon, hapa kwa hawa waheshimiwa mabody guard kibarua kinaweza kuota majani ama?
In pictures: Czech punch-up
![]()
1 of 6
The Czech Republic's Former Deputy Prime Minister breaks off addressing a meeting of dentists to deliver a hard slap to the back of Health Minister David Rath's head.
![]()
2 of 6
Mr Rath takes some steps away from the stage before returning to confront Mr Macek and call him a "coward".
![]()
3 of 6
Mr Macek hits Mr Rath again.
![]()
4 of 6
The two men start punching each other...
![]()
5 of 6
... and nearly push each other off the stage.
![]()
6 of 6
Mr Macek said he slapped Mr Rath because of comments he had made about his wife. The incident, on the eve of polls, has shattered the normally placid image of Czech politics.