Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

President's gadgets.
What appears to be Obama's personal communication device is in the box between him and Rahm. It tracks his location. White House photo.


Saa ya mkononi yenye nyota ya secret service(saa inatumika kama tracker vile vile)
 
Mbona mikono yao wanaweka hivyo?

Inaitwa Arms Ready, kuna post nyuma inazungumzia hiyo position.
 
Last edited:
Hehehehehe ulikuwa wapi siku mbili hizi? Haya ndio mambo anayosema KuHaNI, kuwa yanayokimbiza watu JF!!.....LOL

Hahaha, nipo mkulu si unajua tena hali ya hewa inabadirika hakuna kisingizio cha kujifungia ndani.
 
Aaah mtaalam wa mambo ya u spy huyo bana...lol...just kidding
 
Kauli mtu hizo, nitamwambia Invisible lol...alafu sikujibiwa ilo swali hivi ile thread bado iko wazi?

Kuna mengi ambayo hayajapata majibu hadi hii leo...kuanzia "investigation" na "possible lawsuit" ya Dk. Masau hadi tuhuma za ndugu yangu NN kuwa 'JF Mtandao'....
 
....Au ni macho yangu? Nikiwaangalia hawa walinzi napata picha kuwa mtu mfupi kama mimi sina nafasi sana ya kuwa Bodigadi!! Ah, You Cant win them all. As Long as I am the sole BodyGuard of my Mama Watoto, I am happy....!
 
wajimini picha za g20 na obama huko iraq niaje?natumaini kijiji kizima kilijaa watu wake tu,kwenye press conference waandishi hawakuvuliwa viatu?
 
wajimini picha za g20 na obama huko iraq niaje?natumaini kijiji kizima kilijaa watu wake tu,kwenye press conference waandishi hawakuvuliwa viatu?

Icadon et al......vipi huku.....naona mmekusahau
 
Icadon et al......vipi huku.....naona mmekusahau

Mkuu season ya soka na NBA imefikia patamu ndio maana jukwaa la siasa nalipitia mbali.

...😀 bora umuulize, hatupi pumzi kule!...Icadon, hapa kwa hawa waheshimiwa mabody guard kibarua kinaweza kuota majani ama?

In pictures: Czech punch-up


1 of 6
The Czech Republic's Former Deputy Prime Minister breaks off addressing a meeting of dentists to deliver a hard slap to the back of Health Minister David Rath's head.


2 of 6
Mr Rath takes some steps away from the stage before returning to confront Mr Macek and call him a "coward".


3 of 6
Mr Macek hits Mr Rath again.


4 of 6
The two men start punching each other...


5 of 6
... and nearly push each other off the stage.


6 of 6
Mr Macek said he slapped Mr Rath because of comments he had made about his wife. The incident, on the eve of polls, has shattered the normally placid image of Czech politics.
 
Juzi juzi niliona Mama Salma Kikwete naye ana Msafara wa Ving'ora....duuhh, nikauliza vipi imekuwaje....nikaambiwa ndio order of the day!!
 
JAMAA ZETU HUWA WANAPATA MAFUNZO HAPA MARA MOJA MOJA

 

Sasa kama kiongozi mtemi namna hiyo bodyguard wa nini? Unasave hela za walipa kodi lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…