Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed



jakayapix.jpg
 
Sredi nzuri sana nilikuwa sijaiona hii naona kama movie za kina Arnold<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
 
Hamjambo wote?

Minisamehe kama ziko hizi...
 

Attachments

  • amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-0f8c69.jpg
    amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-0f8c69.jpg
    40.2 KB · Views: 232
  • amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-FcCuij.jpg
    amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-FcCuij.jpg
    31.9 KB · Views: 287
  • amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-1KgO4D.jpg
    amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-1KgO4D.jpg
    26.4 KB · Views: 188
  • amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-oiiItT.jpg
    amazon-body-guard-of-muammar-al-gaddafi-oiiItT.jpg
    38.1 KB · Views: 205
Urais ni mtamu, nimeipwnda zaidi ile ya Colonel Muamar Gadafi.
 
Watu wengi sana wamejadili aina ya ulinzi wa viongozi ila kuna kitu tunamiss kwenye hii mada hasa uzalendo na uhusiano wa ndani na nje ya nchi wa viongozi wenyewe ndiyo unaosababisha mtu kutamani alindwe mpaka na jeshi la malaika ki mtazamo wangu ni kwamba kama mtu akiamua kumuua kiongozi wa nchi na akijipanga ni kazi rahisi sana kuliko matarajio ya wengi ILA HAWA VIONGOZI WETU WANALINDWA NA MUNGU MWENYEWE SISI NI WASINDIKIZAJI TU.
 
Libya
Amazonian Guard
"Gaddafi surrounds himself with handpicked female bodyguards. All of them swear an oath that they will give their lives for him. They never leave his side, night or day, & he insists they remain virgins. There is no shortage of volunteers for what is seen as a prestigious job. A special training college puts recruits through a tough program. Girls who don't drop out emerge as trained killers, experts with firearms & martial arts. Gaddafi makes the final selection &, despite the virginal tag, rumors abound that he demands their sexual favors."


304420865.jpg

304420864.jpg

304420863.jpg

304420860.jpg

304420857.jpg

304420856.jpg

Wakuu hawa mabinti walipotelea wapi manake sikuwaona wakati shujaa Gadaffi ikikamatwa na kuwekwa mikononi mwa watesi wake kabla hajauawa!
 
Back
Top Bottom