Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Mnakumbuka arms ready?
![]()
![]()
![]()
...blackberry pia inambebaji au?
thread safi sana, ndio maana hata jamaa zetu nao wame change formation, sio "4-4-2" tena,...😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakumbuka arms ready?
![]()
![]()
![]()
Naona Mr. Quinn(Mzee mwenye upara) wamemuondoa au yuko likizo.
mwambia mode aitoerepost, hii picha iko nyuma tayari.
![]()
Wanajeshi wa Iran wakiwa katika gwaride baada ya kumaliza mafunzo yao ya kikomandoo. Nani kasema kuwa jeshi ni lazima magwanda. Kwa iran jeshi ni zaidi ya kuvaa magwanda kwani wao hujali zaidi ukakamavu na ujasiri.
http://www.youtube.com/watch?v=yNMfZ3CZco0
A DAD seen flattening a yob in a clip sweeping the internet was yesterday unmasked as an ex-soldier - with TWO black belts.
The Sun tracked down Gulf War veteran Jason Smith, 35, who said: "He deserved it."
Burly Jason - a 15st master in karate and jiu-jitsu - was filmed felling the foul-mouthed idiot outside his home as a crowd gathered.
Jason Smith, who has become a hit on YouTube after a video was posted of him dealing with a yob,
Jason, who has been a bodyguard to stars, had no idea why local "hard nut" Les Andrews stood on his step ranting and raving in St Helens, Merseyside.
He decked him with a single blow. Wife Rebecca, 23, who had cowered with 22-month daughter Boudiccia, said: "I was proud."
Andrews, 23, was arrested and hit with a curfew for yobbery.
Jason said of becoming a web sensation: "People sick of yob culture enjoy seeing someone turn the tables."
pamoja na kuwapeleka mafunzoni kwa washirika mbali mbali bado wako dhaifu.............kweli shule ni muhimu.......
Inabidi tuwalipe Blackwater wawafue vijana wetu.................au................Mkuu Icadon/Moshe Dayan/Mchaga anzisheni "Blackwater" yenu........
Currently Active Users Viewing This Thread: 27 (1 members and 26 guests)
.........duuuhh........haya bana
Wakuu Icadon na Mchaga,
Mbona mmeisahau hii mada wazee.....Jaluo yuko Asia sasa hivi.....vipi vijana wa kazi wa huko na mionekano yao ikoje koje.......mapicha please