Walio apply udzm 2012 soma hapa

Oya mkuu ze duduz ulizidisha chumvi,mbona kuna watu wamechaguliwa hapo udsm hzo kozi za biashara na wana dv 3 zile chafu?

labda kozi zisizo na maana
 
Hey pipo evrybody alyeapply mwaka huu anaaccount yake tcu.... so when the selections will be out atajionea mwenyewe....2ache kuwekana roho juu...!!
 
ey guyz me ntk kziona hzo selection za ud hkuhku mtandaon cz kwny kuzidwnload npt shda:redface:
 
jaman tunaomba iyo link wa2 tujijue hku mtandaon maan dwnload inzngua:eek2:
 

duduz hunalolote unajifanya asali ulambwe na nani? au mti akupande nani? tcu hawajatoa chochote acha nagmashi
 
Km hauna la kuweka bora usiweke kitu,unaumiza watu vichwa upuuzi mtupu ahhhhhh.......
 
perry,kaka div3 chafu hahahahaha noma mno,udsm wanachukua hadi washenzi wa div3 chafu,in jenero div 3 ni chafu iwe13or17
 
perry,kaka div3 chafu hahahahaha noma mno,udsm wanachukua hadi washenzi wa div3 chafu,in jenero div 3 ni chafu iwe13or17

ila kusema kweli kati ya mwaka ambao udzm wamechukua vilaza ni 2012 embu check hii course wildlife management utacheka kwelikweli !! Kweli udzm ishaanza kuporomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…