Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya wadau mnaonaje nikiweka hii link ya matokeo ya selection ya udzm maana inakuwa sio pouwa kupeana ma presha ya ajabuajabu kutoka kwa wapumbavu baadhi wanao post thread zisizo na ukweli ndani Yake !! Ni kheri nikate mzizi wa fitina ni hivi leo naweka hiyo link ujijue kama humo au haupo..au mnasemaje wadau..
perry,kaka div3 chafu hahahahaha noma mno,udsm wanachukua hadi washenzi wa div3 chafu,in jenero div 3 ni chafu iwe13or17
duduz hunalolote unajifanya asali ulambwe na nani? au mti akupande nani? tcu hawajatoa chochote acha nagmashi
2pen link bcachana na huyo kiazi anaona matusi ndo dili