Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Haiwezekani ikawa mambo za ajabu TCU sio wapuuz wakuweka cut off point ndogo alafu chuo kikaweka point kubwa kama vp watoe tuone 2sijipe presha
Mambo yote kesho out, just few hours to go ...... The end !!!
Kusema kwel me inaniuma saana kuona watu wanakuja hapa alafu wanaleta habari ambazo sijui wamezisikia wap kuhusu haya maselection.
Yan kama wangejua jinsi wanavowaweka watu roho juu especialy sisi tulioaply mwaka huu wasingekua wanafanya ivo kabisa..
Grow up guyz na mlete hapa habar mkiwa na uhakika na mlete na visibitisho basi coz thats hw great thinkez do..
NB:Mods plz do somethn abt thos pple
Epicauta acha kufikiri kwa masaburi, Zeduduz sijakutukana mdogo wangu ukifika baada ya siku hata mbili utan PM...kuwa umeelewa nini nilivosema kubeba!!
kaka pole xana kwa kuwa na presha !! Afu kwani hujiamini?? Kuwa ndume bwana why uogope hz selectn zipo tu.! Evidence ninazo coz email na paswrd ya mshkaji yenye hyo link ya majina ninayo xo swali linakuja nimwamini nani? Ili aweze kuleta huo mzigo hapa mezani?
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!
1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12
But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
kaka pole xana kwa kuwa na presha !! Afu kwani hujiamini?? Kuwa ndume bwana why uogope hz selectn zipo tu.! Evidence ninazo coz email na paswrd ya mshkaji yenye hyo link ya majina ninayo xo swali linakuja nimwamini nani? Ili aweze kuleta huo mzigo hapa mezani?
nyie bishanenii, selection wa2 2nazo tayar.. but za ud tu
Bado samaki nchanga Ze duduz...simaanishi unavyofikiri wewe....Mungu akikujalia kufika udsm(home of intellectuals) utajua nasema...misamiati hiyo haipatkan form six...