Hatukati ni ngumi tu!Nawashauri wakate rufaaπ€£π€£π€£
Hatukati ni ngumi tu!
Tena kama wewe nikikukuta umepanga mstari ati unapiga kura nakubeba natokomea nawewe mahali pasipo fahamika!..πImeisha hiyo
Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola kupitia chaguziKwa hili CHADEMA nawapongeza
Hatukati ni ngumi tu!
na kwa namna hiyo watakuwa wamejiengua toka cdm automatically, hapatakuwa na makelele tena, waliobaki wote watakuwa na lugha moja. na hatutegemei waondoke na waendelee kuongea.CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Ahahaaaa...!Tena kama wewe nikikukuta umepanga mstari ati unapiga kura nakubeba natokomea nawewe mahali pasipo fahamika!..π
Tena kama wewe nikikukuta umepanga mstari ati unapiga kura nakubeba natokomea nawewe mahali pasipo fahamika!..π
Yani nishindwe kupita we waliombeba lissu walipita wapi watanzania ni hodari sana wakuangalia mchezo tu si kutetea!, utapiga kelele ukiwa begani halafu huko napokupeleka namimi naenda kukupiga kura!, mbogamboga mmetuchosha!Sasa utapita wapiπ€£π€£π€£
Usalama wa raia uko imara sana
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Yani nishindwe kupita we waliombeba lissu walipita wapi watanzania ni hodari sana wakuangalia mchezo tu si kutetea!, utapiga kelele ukiwa begani halafu huko napokupeleka namimi naenda kukupiga kura!, mbogamboga mmetuchosha!