Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

Tumsikie sasa ushauri wa Mrema kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni ya maadili.
 
Haki gani, mnaijua haki nyinyi

Haki ya kuchagua na kuchaguliwa inazingatia taratibu, vigezo na masharti

Hongereni mmejua kukimbia kabla ya kukimbizwa

Mnaenda kutusemea lini Ubelgiji??? Au safari hii mnaenda Canada!?
 
Kwa hili CHADEMA nawapongeza

Na naishauri serikali imuachie Mheshimiwa TUNDU ANT PASS LISSU huru,kwasababu sasa hoja ya CHADEMA imezikwa rasmi,hata wakipambana reforms zikafanyika CHADEMA haitoshiriki uchaguzi!
UCHAGUZI UNAENDA KUJIVUA NGUO🤣🤣🤣!
 
Mbona umeshatokomea na chadema 😁😁😁
Snaptik.app_728680228240499021311.jpg
 
Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola kupitia chaguzi

Sasa kama wamegoma nakuhakikishia baada ya miaka mitano Chadema kitakimbiwa na wanachama
Toa upumbavu 2020 chadema kilishinda ubunge viti vingapi?, Udiwan viti vingapi? Mbona hao wanachama hawajakimbia?
 
Toa upumbavu 2020 chadema kilishinda ubunge viti vingapi?, Udiwan viti vingapi? Mbona hao wanachama hawajakimbia?
Ushahidi wa kushinda unao?

Sasa ndio kwa heri ya kuonana .Chama kuchangamka ni kipindi chaguzi

Sasa kwa kuwa hakishiriki kknakufa natural death
 
Ushahidi wa kushinda unao?

Sasa ndio kwa heri ya kuonana .Chama kuchangamka ni kipindi chaguzi

Sasa kwa kuwa hakishiriki kknakufa natural death
Soma elewa afu jibu hoja kwakutulia ... Acha mihemko ya nzi wa kijani....bata wewe😂
 
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Watakuja wengine kama Late Ngoyai Lowasa na chadema itampokea maana chadema wana uchu na pesa.
 
Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola kupitia chaguzi

Sasa kama wamegoma nakuhakikishia baada ya miaka mitano Chadema kitakimbiwa na wanachama

Dola ipi? Hii ya CCM . Gombaneni wenyewe na mamluki wenu.
 
Wataenguliwa wote labda atabakizwa mmoja halafu warudi tena kujiunga na CHADEMA na kuanza square one.😆
 
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Tena wawahi haraka sana, ombi langu kwa viongozi wa CHADEMA
wasajili line za Yas na airtel kwa ajili ya kupokea michango ya tone tone kama walivyofanya kwa voda.
kule chadema digital kunasumbua pesa haiendi tunalazimika kutumia voda,turahisishie kazi tuwawezeshe mfanye kazi.
 
Back
Top Bottom