China wenyewe Kingereza siyo lugha yao lakini wanahitaji certificate of language proficient?
Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza na uliifanya kwenye recognised institution hakuna haja ya kufanya IELTS au TOEFL.
Unawezafanya hivi. Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza, nenda kwenye department/school uliyosomea hiyo degree waombe wakupe barua ya kudhibitisha kuwa degree ulisomea kwa lugha ya Kiingereza.
Lakini hakikisha hicho chuo ni internatioanlly recognised institution. Kama ni degree kutoka vyuo vya voda fasta itakubidi ufanye IELTS au TOEFL?
Dogo kuwa msomim si lazima uandike kiingereza, hii ni lugha ngeni kwako ANDIKA KISWAHILI TU, Angalia hapo umeandika nini sasa? Yaani umeandika kiingereza kwa kiswahili sahihi yake labda ungeandika hivi " I am very sorry I meant I am urgently in need of it" You can not say "I was meaning"
Pamoja na ushauri wote huu ndugu yangu kumbuka pia hawatoi bure utahitaji kulipia, mara ya mwisho mimi nilikuwa nataka kwenda USA nilikwend pale UDSM wakanichaji 50,000Tshs and that was in 2007! na hii ni kwa sabau nilikuwa na uthibitisho kuwa degree ya kwanza nilisoma pale!
Pamoja na ushauri wote huu ndugu yangu kumbuka pia hawatoi bure utahitaji kulipia, mara ya mwisho mimi nilikuwa nataka kwenda USA nilikwend pale UDSM wakanichaji 50,000Tshs and that was in 2007! na hii ni kwa sabau nilikuwa na uthibitisho kuwa degree ya kwanza nilisoma pale!
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all
Natanguliza shukrani ninyi nyote.hi wanajamvi!
I really agently need help. Thanks in advance you all
Jamaa anatafsiri kiswahili kwenda kingleza.sorry man i was meaning 'really i need it agently' nakubari nimekosea
One easily rate this chap's language proficiencyKwani proficiency level yako ikoje? Beginner?,
intermediate?, au
advanced?I really agently need help.
Thanks in advance you all
sorry man i was meaning 'really i need it agently'
.
nimesoma BBA
mzumbe,Chuo gani?
sorry man i was meaning 'really i need it agently' nakubari nimekosea
Yaani hapa ndio mama weeeeeee, afadhali hata ya janasorry man i was meaning 'really i need it agently' nakubari nimekosea
Ingekua University of Dar es Salaam unadhani angesubiri umuulize?Chuo gani?
mluhusu ajieleze kwa rugha anayoiweza zaidi bwana.
Ingekua University of Dar es Salaam unadhani angesubiri umuulize?
Mhn! Hivi IELTS na TOEFL za Kiswahili zinapatikana wapi?
Mi nimesema tu. kama na wewe ulisoma college za vichochoro pole sana.Better kujua kuliko kuassume hakusoma UDSM.
Unafikiri Mzumbe hakitambuliwi kimataifa?