mwambadog
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,736
- 1,446
- Thread starter
- #21
China wenyewe Kingereza siyo lugha yao lakini wanahitaji certificate of language proficient?
Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza na uliifanya kwenye recognised institution hakuna haja ya kufanya IELTS au TOEFL.
Unawezafanya hivi. Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza, nenda kwenye department/school uliyosomea hiyo degree waombe wakupe barua ya kudhibitisha kuwa degree ulisomea kwa lugha ya Kiingereza.
Lakini hakikisha hicho chuo ni internatioanlly recognised institution. Kama ni degree kutoka vyuo vya voda fasta itakubidi ufanye IELTS au TOEFL?
nimesoma BBA