Walio wai kusoma nje ya tz

Walio wai kusoma nje ya tz

China wenyewe Kingereza siyo lugha yao lakini wanahitaji certificate of language proficient?

Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza na uliifanya kwenye recognised institution hakuna haja ya kufanya IELTS au TOEFL.

Unawezafanya hivi. Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza, nenda kwenye department/school uliyosomea hiyo degree waombe wakupe barua ya kudhibitisha kuwa degree ulisomea kwa lugha ya Kiingereza.

Lakini hakikisha hicho chuo ni internatioanlly recognised institution. Kama ni degree kutoka vyuo vya voda fasta itakubidi ufanye IELTS au TOEFL?

nimesoma BBA
 
Dogo kuwa msomim si lazima uandike kiingereza, hii ni lugha ngeni kwako ANDIKA KISWAHILI TU, Angalia hapo umeandika nini sasa? Yaani umeandika kiingereza kwa kiswahili sahihi yake labda ungeandika hivi " I am very sorry I meant I am urgently in need of it" You can not say "I was meaning"

ok sir
 
Pamoja na ushauri wote huu ndugu yangu kumbuka pia hawatoi bure utahitaji kulipia, mara ya mwisho mimi nilikuwa nataka kwenda USA nilikwend pale UDSM wakanichaji 50,000Tshs and that was in 2007! na hii ni kwa sabau nilikuwa na uthibitisho kuwa degree ya kwanza nilisoma pale!

your right bro nimeenda leo wamesema niwe na 40000 plus 2000 ya extra copy. Kama unataka fasta bila kufanya test inacost 82000. Thanx bro
 
Pamoja na ushauri wote huu ndugu yangu kumbuka pia hawatoi bure utahitaji kulipia, mara ya mwisho mimi nilikuwa nataka kwenda USA nilikwend pale UDSM wakanichaji 50,000Tshs and that was in 2007! na hii ni kwa sabau nilikuwa na uthibitisho kuwa degree ya kwanza nilisoma pale!

its true bro nimeenda 2day wanataka 82000. Kupata fasta kama unataka kufanya test ni 42000
 
Udsm pia huwa wanatoa but.. Cheti chao huwa hakikubaliki ktk vyuo vyote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all

Kwani proficiency level yako ikoje? Beginner, intermediate, au advanced?

Kwa sababu kutokana na kiwango chako kuna vyuo huwa wana-waive hiyo requirement.
 
Kijana kuna umuhimu ufanye hyo test mana hicho kidhungu Duh, hata maji huombi utapewa uji bure
 
Sigma acha kumcheka pls. mjibu tu anaweza kusaidiwa wapi,
maana mwenyewe hajabisha kua hahitaji msaada, ila hajui pakuupata.
 
Last edited by a moderator:
Sigma acha kumcheka pls. mjibu tu anaweza kusaidiwa wapi,
maana mwenyewe hajabisha kua hahitaji msaada, ila hajui pakuupata.
aya Mwali ila jamaa akiandika kingleza inakupa tabu kupita bila kukomenti bana. Naona sasa amekuwa smart, ni lugha ya taifa kwa kwenda fowad
 
Last edited by a moderator:
aya Mwali ila jamaa akiandika kingleza inakupa tabu kupita bila kukomenti bana. Naona sasa amekuwa smart, ni lugha ya taifa kwa kwenda fowad
mluhusu ajieleze kwa rugha anayoiweza zaidi bwana.
 
mluhusu ajieleze kwa rugha anayoiweza zaidi bwana.

Mhn! Hivi IELTS na TOEFL za Kiswahili zinapatikana wapi?

Ingekua University of Dar es Salaam unadhani angesubiri umuulize?

Better kujua kuliko kuassume hakusoma UDSM.

Unafikiri Mzumbe hakitambuliwi kimataifa?
 
Mhn! Hivi IELTS na TOEFL za Kiswahili zinapatikana wapi?

you know i did that on purpose, right? Sigma ndie alianza! (Kingleza)
Inanikumbusha tulivokua wadogo-zaidi- tulikua tunabisha makosa
hata waanakukuta unafanya makosa unaanza kwa kusema fulani ndie alianza. lol

Better kujua kuliko kuassume hakusoma UDSM.

Unafikiri Mzumbe hakitambuliwi kimataifa?
Mi nimesema tu. kama na wewe ulisoma college za vichochoro pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom