Walio wengi hawaelewi nini maana ya Upendo na Ukoje.

Walio wengi hawaelewi nini maana ya Upendo na Ukoje.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje.

Upendo:
Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka.
Pia kupitia Elimu mashuleni na Media imebeba nafasi kubwa ya kutujuza mambo mengi..

Ukiangalia hata zile movie za Kanumba na Ray zina maudhui mengi sana.

Unakumbuka Ray alivyomuachia Kanumba ale mbususu ya mkewe Johari ili apate mimba 😁🤣🤣

Kuna movie ya kanumba inatwa More than pain kama sikosei nayo ilikua na maudhui (moral lesson)

Mimi kwenye drama movie niko vizri kitambo but kwasasa movie zenye jumbe mpya kwangu ni chache nani adimu

Ninukuu maneno ya Muhindi (Actor) mmoja alikua akijaribu kuelezea Mtu akupendaye ni Yupi.

Iko hivi, ukimpenda mtu cha kwanza hutakiwi kufikiria kupokea chochote kwa huyo mtu bali wajibu wako ni kushughurika na haja za yule umpendae.

Yaani ukipenda unatakiwe ujitoe (in english wanasema Love is a sacrifice.

Lakini kwa sababu ya wengi kuogopa kusalitiwa na wanao wapenda, basi Mapenzi na mahusiano yamekua ya kuviziana.

So, usipagawe na maneno mazuri na sifa nyingi kutoka kwa kiumbe anaitwa binadamu.

I remember kuna kidada kimoja kizuri cha moto sana nilipoanza kuruka nacho, najua kwangu alifata hela baada ya kuona hapewi hizo hela akajikataa kimya kimya.

ilikuwa hivi kuna Muda alikua akiweka Nyimbo za Mapenzi tena kwenye simu yangu na kuanza kujiimbisha, sasa mimi nilikua nafanya kumuuliza hivo unavyoimba unaniimbia mimi au kuna mtu mwingine unamuimbia, 😁😅

Huyu binti alikua muongo balaa, sasa alikuwa akinipa habari au sifa za uwongo kuna kicheko fulani huwa nacheka ambacho hata yeye ilifikia hatua akawa anajua kabisa hicho kicheko huwa nakitoa kwa sababu ya mauwongo yake, ni kakicheko flani hivi mixer na dharau za kuonesha you can't lie to me,
i'm very dangerous Man
Mapenz yetu hayakumaliza hata week mbili tukaachana.

USINIULIZE NAJUAJE KAULI YA MTU NIYA UWONGO BILA USHAIDI.
Huwa najua automatically

Wajameni hapa natokea msibani narudi jijini
Ndugu wanao kaa bush aloo niwanafiki balaa

Hivi wewe ukatotoe watoto hovyo ukitegemea ndugu wa mjini aje akusaidie kulea? very stupid mind.

Ndugu wa kijijini wanafikiri ukisoma tu mjini kazi lazima upate na unakuwa na maisha mazuri.

Kwahiyo maswali yao hata tukiwa mbali wakipiga simu ni kuuliza unafanya kazi gani vipi unaenda kuwatembelea lini... pumbavu haya maisha mm mwenyewe mshahara laki 3 bado najitafuta alafu unaleta ukaribu usio na kichwa wala miguu wanajielewa kweli?

Sasa achana na hayo, wao ndio kazi kuturoga na kujitapa kwamba bila baraka zao hatuta toboa huko mijini.

Na sio kwamba mm nimekulia kijijini, hapana.

Mimi nimekulia mjini, Baba yangu ndio kashikwa kama kiongozi wa ukoo na anakua busy na ukoo hadi anasahari familia yake ya mjini.

Sasa baba yangu anaenda kustaafu, na mzaliwa wa kwanza ni mimi ndo wanaona nawaletea habari nyeusi sina time ya kukalia kiti cha baba yangu cha kutunza ukoo 🤣🤣🤣

Kuniroga wala kunilaani hawawezi, wapambane na hali zao.

watu ni wanamaneno ya kujipendekeza sana, hadi wakiona hujali wanaanza chuki
Aisee binafsi Shangazi zangu ni noma, badala wajifunze uchawi wa kutafuta maendeleo wao binafsi, wao wamekomaa na uchawi wa kuteka nafsi za ndugu wenye nyota zinazong'aa zaidi.

Kidogo baba zangu wakubwa ndio naona wanaheshima na sio wanafiki.

Ni hayo tu wanajukwaa, ni mimi wenu kijana mdogo mpole nisie na maneno mengi wala fujo ila ukijichanga nakuvua nguo.

by Surya The Prophet
 
Unaongelea muvi kumbe? unasema kwamba upendo hauhitaji unampenda akupe chochote? faida ya upendo itakuwa nini? Mungu mwenyewe alitupenda hapo kwanza hata akamtoa mwanae kwa ajili yetu lakini inreturn anataka tufanye yale anayotuagiza hiyo ndio faida ya upendo wake kwetu, na sisi tukifanya hayo kuna vitu ametuahidi kututendea
 
tea.jpg
 
Kupenda ni ufalasi 😅😅😂😂😂
 
Mzee si tumekubaliana kuwa utasema machache mbona umeongea mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom