Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara
Tanzania iyoDuhhh wapi hiyo
Kwani hawafahamu kama kuna idadi kadhaa ya walimu inabidi wapewe pesa zao za kujikimu?, tatizo tunapenda sana ujamaa wa kijinga na sio kwamba sifahamu nafahamu sana kuna walimu waliajiriwa na wamekaa miezi mitatu ndio wakapewa pesa za kujikimu na mshaharaMadaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara
Kwa Hiyo Hili nalo Ni La Kuandikia Threads hapa Jf kweli?Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
UmenenaHuyo uhakiki umedunda. Ulitaka akuambie nini? Wengine wanachagua pa kwenda.
Huo ni uchochezi mkuu.Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
Nasema nilichoambiwa na binti, ndio maana nikawekatetesi. Yupo hapa amesimamishwa kuwa hela hamnaHuo ni uchochezi mkuu.
Nani kasema pesa hakuna?
Fedha zipo ndio maana nchi inauwezo wa kununua ndege kwa cash wala sio mkopo.
Mkuu hilo sawa. lakini halihusiani na mkataba wa ajira. kazi halali kwa malipo halaliMadaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara
Ndiyo maana nimesema tetesi.Inawezekana vile vile uhakiki, lakini ndio karipoti juzi tu. Sikatai inawezekanaHuyo uhakiki umedunda. Ulitaka akuambie nini? Wengine wanachagua pa kwenda.