Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes uwe na busara please!Usiichonganishe Serikali Na Wananchi Wake
Exactly, mwingine nimemuona leo tena akasema waliambiwa kama wanataka awendelee na kazi kwa gharama zao au waende nyumbani wataiwa vote ikiingia, she opted to come home!Hii ishu ni kweli hata mimi nina rafiki yangu toka wameajiriwa hawajapata mshahara, ameniambia kitu kinachowewezesha kusurvive ni visemina vya hapa na pale, ila kuhusu mshahara imekua ni kitendawili wanapigwa tu danadana
Walikua wamepanga warudi nyumbani ila uongozi wa hospitali ukasema utawakopesha hela kiasi so wavute subira.
Sasa sijui wana mpango gani nao
Daa very sad sijui serikali ina mpango ganiExactly, mwingine nimemuona leo tena akasema waliambiwa kama wanataka awendelee na kazi kwa gharama zao au waende nyumbani wataiwa vote ikiingia, she opted to come home!