Tetesi: Walioajiliwa na Idara ya afya wamerudishwa nyumbani kwa vile hakuna fedha ya kuwalipa

Kwa Hiyo Hili nalo Ni La Kuandikia Threads hapa Jf kweli?
Ndio kwakua ni habari tena ya kushangaza mno!!!wakati mnajitapa MNA pesa hospitali hazina wauguzi halafu walioajiriwa wanarudi nyumbani!?? Kisa hakuna fedha halafu unasema sio habari!??
 
Huyu ni mpuuzi never respond to such people!
 
Madaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara
Vipi kuhusu Swala la Mimba?
 
Nilisikia kesi hiyohiyo.kuna madogo waliajiriwa lakini hawakupata mishahara yao,life lilivyokuwa tough zaidi wakaambiwa waandike barua ya kusimama kazini mpaka wapewe stahiki zao
 
Ulimuuliza ki-layman sana. Nae akakujibu kama ulivouliza.
 
..we sema alitaka kukupiga mzingaa nawe ukashtukiaaa
 
Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
Tunaposema nchi imekongoroka kwanini hamtuelewi ?
 
Nasema nilichoambiwa na binti, ndio maana nikawekatetesi. Yupo hapa amesimamishwa kuwa hela hamna
wala si tetesi , ni ukweli ulio wazi kabisa , kwanza wanalaumiana kwamba ni nani aliidhinisha ajira hizo huku ikifahamika hela hakuna ? siku si nyingi kuna mtu atatumbuliwa .
 
ukiandika lumumba wanasumbua sana humu. Nimewaona wengine tena wanasema wameambiwa warudi nyumbani pesa hakuna! nimekafanyia utafiti maana kananihusu my daughters and sons!
 
Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
Humuamini aliyekuambia ambaye ni mhusika!
 
Inwezekana vyeti or something else yeye akasingizia hela. Lakini nimesikia toka wengi mbali na huyu, ni kwli wamesimama kusubiri hela... nadhani hiyo ndiyo nitolee!
 
Du pole yao
 
Ajira za kutangazwa kwa press conference lazima kuwe na shida mahali
 
Madaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara
Hii ndo serikali unayoipigia chapuo kila uchao kwa madudu haya?
 
Back
Top Bottom