Ndio kwakua ni habari tena ya kushangaza mno!!!wakati mnajitapa MNA pesa hospitali hazina wauguzi halafu walioajiriwa wanarudi nyumbani!?? Kisa hakuna fedha halafu unasema sio habari!??Kwa Hiyo Hili nalo Ni La Kuandikia Threads hapa Jf kweli?
Huyu ni mpuuzi never respond to such people!Ndio kwakua ni habari tena ya kushangaza mno!!!wakati mnajitapa MNA pesa hospitali hazina wauguzi halafu walioajiriwa wanarudi nyumbani!?? Kisa hakuna fedha halafu unasema sio habari!??
.......Kwa Hiyo Hili nalo Ni La Kuandikia Threads hapa Jf kweli?
Vipi kuhusu Swala la Mimba?Madaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara
nimelifanyia kazi, siyo yeye peke yake. Linanihusu kwa vile I have my sons and daughters in that field!Si kweli, labda peke yake ndo amerudishwa
Tunaposema nchi imekongoroka kwanini hamtuelewi ?Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
wala si tetesi , ni ukweli ulio wazi kabisa , kwanza wanalaumiana kwamba ni nani aliidhinisha ajira hizo huku ikifahamika hela hakuna ? siku si nyingi kuna mtu atatumbuliwa .Nasema nilichoambiwa na binti, ndio maana nikawekatetesi. Yupo hapa amesimamishwa kuwa hela hamna
Na sasa tunataka kununua korosho Wafanyabiasha wasiponunua, ha ha haHuo ni uchochezi mkuu.
Nani kasema pesa hakuna?
Fedha zipo ndio maana nchi inauwezo wa kununua ndege kwa cash wala sio mkopo.
ukiandika lumumba wanasumbua sana humu. Nimewaona wengine tena wanasema wameambiwa warudi nyumbani pesa hakuna! nimekafanyia utafiti maana kananihusu my daughters and sons!wala si tetesi , ni ukweli ulio wazi kabisa , kwanza wanalaumiana kwamba ni nani aliidhinisha ajira hizo huku ikifahamika hela hakuna ? siku si nyingi kuna mtu atatumbuliwa .
Humuamini aliyekuambia ambaye ni mhusika!Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
Inwezekana vyeti or something else yeye akasingizia hela. Lakini nimesikia toka wengi mbali na huyu, ni kwli wamesimama kusubiri hela... nadhani hiyo ndiyo nitolee!Humuamini aliyekuambia ambaye ni mhusika!
Du pole yaoInwezekana vyeti or something else yeye akasingizia hela. Lakini nimesikia toka wengi mbali na huyu, ni kwli wamesimama kusubiri hela... nadhani hiyo ndiyo nitolee!
Hii ndo serikali unayoipigia chapuo kila uchao kwa madudu haya?Madaktari Wakuu wangeiga ya Maafisa Elimu wa Hamlshauri walioshawishi Walimu Wakuu Kulea Walimu wapya Kwa kuhakikisha wanagonga Msosi Nyumbani Kwa Mkuu wa Shule Kama Mtoto wa Familia mpaka hapo watapopata Mshahara