Walioandaa maandamano wana nguvu kuliko walioandaa uchaguzi Mkuu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard

Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo

Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano

Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani

Asubuhi sana wanangu

LONDON BOY
 
Hatari sana
 
Serikali na Polisi wanazidi changanyikiwa na mwisho wa siku watakimbia vimvuli vyao
 
Kwenye mikutano Yate ya CCM hakuna ujumbe mwingine zaidi ya maandano Tu, kwakifupi CCM wameingia kwenye mfumo wao wenyewe bila kujua..
Viongozi wa mchongo wa dini nao wanaimba wimbo wa maandano kilasiku badala ya kuongea ishu za maendeleo

CCM hawajui waingilie njia gani ili wavuke
 
 

Attachments

  • 8E5B2295-019C-46A4-A19A-99BA88E17DCA.jpeg
    108.4 KB · Views: 28
  • 11DBB355-6C7D-4CA0-A7BE-A2C659FC5C18.jpeg
    192.6 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…