..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.
..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani.
..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba.
..Tanzania tumepoteza vijana wetu, na hata miili yao hatujaipewa, halafu tunacheza ngoma na matarumbeta.
..Paul Kagame ambaye majeshi yake yamehusika kuuwa vijana wetu naye kapokelewa kwa vigelegele vya ngoma na matarumbeta.
..Walioandaa mapokezi yale wanapaswa kuwajibishwa.