Rwanda and Uganda Play the Long Game..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.
..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani.
..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba.
..Tanzania tumepoteza vijana wetu, na hata miili yao hatujaipewa, halafu tunacheza ngoma na matarumbeta.
..Paul Kagame ambaye majeshi yake yamehusika kuuwa vijana wetu naye kapokelewa kwa vigelegele vya ngoma na matarumbeta.
..Walioandaa mapokezi yale wanapaswa kuwajibishwa.
Umenikumbusha 1978 nikiwa TRC Mwanza tukiwa tunasafirisha Mashujaa kwenda Mutukula
Tulikuwa very serious 🐼
Taifa hili kila siku nasema limekuwa la wakata maunooo..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.
..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani.
..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba.
..Tanzania tumepoteza vijana wetu, na hata miili yao hatujaipewa, halafu tunacheza ngoma na matarumbeta.
..Paul Kagame ambaye majeshi yake yamehusika kuuwa vijana wetu naye kapokelewa kwa vigelegele vya ngoma na matarumbeta.
..Walioandaa mapokezi yale wanapaswa kuwajibishwa.
Nadhani aliyeandaa mapokezi ni Mkuu wa Mkoa wa DSM..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.
..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani.
..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba.
..Tanzania tumepoteza vijana wetu, na hata miili yao hatujaipewa, halafu tunacheza ngoma na matarumbeta.
..Paul Kagame ambaye majeshi yake yamehusika kuuwa vijana wetu naye kapokelewa kwa vigelegele vya ngoma na matarumbeta.
..Walioandaa mapokezi yale wanapaswa kuwajibishwa.
Kuna viongozi ukiwaona tu unajua uongozi wamepata kwa kuroga.Nadhani aliyeandaa mapokezi ni Mkuu wa Mkoa wa DSM
Inasikitisha ! kuna jema gani la kuwapigia ngoma watu wanaokuja kujadili ''misiba' na mateso ya Wanadamu.
Nakaza mkuu..Kagame hakutakiwa awepo kabisa.
..yule ni M23 na ni kama amekuja kutusanif.
Nadhani aliyeandaa mapokezi ni Mkuu wa Mkoa wa DSM
Inasikitisha ! kuna jema gani la kuwapigia ngoma watu wanaokuja kujadili ''misiba' na mateso ya Wanadamu.
Serikali ya CCM haijawahi kuwa makini..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.
..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani.
..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba.
..Tanzania tumepoteza vijana wetu, na hata miili yao hatujaipewa, halafu tunacheza ngoma na matarumbeta.
..Paul Kagame ambaye majeshi yake yamehusika kuuwa vijana wetu naye kapokelewa kwa vigelegele vya ngoma na matarumbeta.
..Walioandaa mapokezi yale wanapaswa kuwajibishwa.
Huyo RC ndiyo yule mwenye kichwa kama kitunguu maji?Nadhani aliyeandaa mapokezi ni Mkuu wa Mkoa wa DSM
Inasikitisha ! kuna jema gani la kuwapigia ngoma watu wanaokuja kujadili ''misiba' na mateso ya Wanadamu.
Nadhani ni Vijana wa zama hizi kuliko Vijana wa Tanzania..vijana wa Kitanzania wangekuwa wanajitambua wangempokea Rais Kagame na mabango ya kumlaani.
Huu utamaduni wa kuwachezea ngoma hao mnaowaita viongozi ni jambo la kijinga sana, very primitive. Kwani lazima wachezewe ngoma? Kwani wakipokelewa tu bila ngoma kuna shida gani? Huu utamaduni wa kijinga uachwe...Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.