Walioandaa mapokezi yenye ngoma na matarumbeta kwa viongozi wa SADC na EAC wakati wamekuja kujadili msiba wa DRC wanapaswa kuwajibishwa.

😂 😂 😂 Kwamba watu badala ya kuelimika na kuchangamka zaidi wanakuwa wanakuwa wapumbavu
 
Unapoteza muda wako bure kabisa.

Haya ni matunda ya ujinga na Siasa chafu za Ushabiki bila Hoja
 
kama itifaki ya serikali ndio iliandaa ni nani wa kuishitaki serikali? Hizi ngoma zisitumike sana kutumika kama hali si nzuri. Haikupaswa viongozi hao wa SADC na EAC kupigiwa ngoma na matarumbeta kwa kuwa walikuja kujadili msiba wa DRC. Huyo kiongozi mwenye jukumu la kuandaa shughuli za kuwapokea vingozi kwa itifaki ya kuwapigia ngoma na matarumbeta ni zuzu, hafikiri vema kutokana muktadha wa matukio na hali zake. Labda kama ngoma na matarumbeta hayo ingekuwa ni maombolezo tu
 
Kagame na Mseveni ni ndugu na washirika wa karibu sana. Amani itapatikana wakiondoka!
 
Mimi nadhani muhimu ni maazimio. Haya masuala ya Ngoma sijui vigele gele yawekeni kando!
 
Kuanza, niseme Poleni kwa misiba. Pole ziwafikie familia za wanajeshi wote waliokufa, kwenye vita. Vita sio mchezo wazuri tu ndio wanabakia huko.

======
Kuh: Utamaduni wa Waswahili

Batanzanie wanaukataa utamaduni wao?😁🤣🤣🤣🤣 Gushyira umuco wabakoloni?

Kwa maoni yangu

Cultural imperialisme is real. Viashiria vyake vinaeza kupatika kwenye maandiko mengi sana JF, imekuwa the norm. nauliza wenye dockets za utamaduni
banafanya nini?

Licha ya hayo

maandiko mengi ni ya kudhoofisha na kudhalilisha utamaduni wa Batanzani why?
 
Nchi ya vituko
 
Africa mijitu mingi ni mijinga kupindukia. Ilitakiwa hao viongozi wapokelewe na vilio vya wanacongo. Hata mabango ya kupinga mauaji unaweza kukuta yalizuiwa. Yaani sisi tunapambana na kifo kwa kukikumbatia. Ni huzuni
 
Huu utamaduni wa kuwachezea ngoma hao mnaowaita viongozi ni jambo la kijinga sana, very primitive. Kwani lazima wachezewe ngoma? Kwani wakipokelewa tu bila ngoma kuna shida gani? Huu utamaduni wa kijinga uachwe.
Sawa, uachwe na ni wakijinga, and very primitive, unadhani kipi kingetokea na kwa Utamaduni gani wageni wapokelewe?
 
Duh! ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…