Walioandaa mapokezi yenye ngoma na matarumbeta kwa viongozi wa SADC na EAC wakati wamekuja kujadili msiba wa DRC wanapaswa kuwajibishwa.

..Kagame hakutakiwa awepo kabisa.

..yule ni M23 na ni kama amekuja kutusanif.
Sasa wangeongea na nani kama sio yeye?...

Tshekedi alipaswa awepo yeye binafsi, amekosea sana kukwepa Kikao.
 
ilitakiwa iwe kimya kmya mwendo wa ling'ang'a
 
Ngoma kwa mgeni iendane na dhima kuu la mkutano, hao marais hawakupaswa kupigiwa ngoma wala magwaride ya kijeshi kwa kuwa walikuja kujadili msiba wa DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…