Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #141
Kakimbilia FacebookYani mkuu punguza Spana, 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakimbilia FacebookYani mkuu punguza Spana, 🤣
🤣😂 Sijui hawajuwagi soma mfano kaja na hii ya vituo vinaonesha vituo 352 ambavyo vinajumlisha ujenzi na ukarabati, hivyo ndani ya vituo hivi vipo vilivyojengwa na kukarabatiwa,ila utawasikia wakizungumza kujenga tu ,vilivyokarabatiwa hawasemi ,bora ujinga wao wawe wanapeleka fb hukoKakimbilia Facebook
Kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kuwa Tanza-nia tuna data NZURI sana ila hatuzifanyii kazi.... kwahio wajinga Wachache wanazitumia kutudanganya🤣😂 Sijui hawajuwagi soma mfano kaja na hii ya vituo vinaonesha vituo 352 ambavyo vinajumlisha ujenzi na ukarabati, hivyo ndani ya vituo hivi vipo vilivyojengwa na kukarabatiwa,ila utawasikia wakizungumza kujenga tu ,vilivyokarabatiwa hawasemi ,bora ujinga wao wawe wanapeleka fb huko
Kweli mkuuKuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kuwa Tanza-nia tuna data NZURI sana ila hatuzifanyii kazi.... kwahio wajinga Wachache wanazitumia kutudanganya
Hata hivyo huyu, kanitahidi mno kazoa marks 80%, hebu fikiria Mwenyekiti wa SADC anapongezwa kwa ushindi wa kishindo eti kuwa mwenyekiti wa SADC!!!!Watoke wapi sasa wakati wote wako hivyo.
Hahahahahaa dahHata hivyo huyu, kanitahidi mno kazoa marks 80%, hebu fikiria Mwenyekiti wa SADC anapongezwa kwa ushindi wa kishindo eti kuwa mwenyekiti wa SADC!!!!
Ndio Yale mabango kule Mbezi?Hata hivyo huyu, kanitahidi mno kazoa marks 80%, hebu fikiria Mwenyekiti wa SADC anapongezwa kwa ushindi wa kishindo eti kuwa mwenyekiti wa SADC!!!!