Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Kakimbilia Facebook
🤣😂 Sijui hawajuwagi soma mfano kaja na hii ya vituo vinaonesha vituo 352 ambavyo vinajumlisha ujenzi na ukarabati, hivyo ndani ya vituo hivi vipo vilivyojengwa na kukarabatiwa,ila utawasikia wakizungumza kujenga tu ,vilivyokarabatiwa hawasemi ,bora ujinga wao wawe wanapeleka fb huko
 

Attachments

  • downloadfile(1).png
    181.7 KB · Views: 2
Kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kuwa Tanza-nia tuna data NZURI sana ila hatuzifanyii kazi.... kwahio wajinga Wachache wanazitumia kutudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…