kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Yaani kitila anasema DPWORLD mkataba miaka 8 wakati mkataba imeandikwa ni mileleyaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kitila anasema DPWORLD mkataba miaka 8 wakati mkataba imeandikwa ni mileleyaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.
Upumbavu wa karne wenye umri wa miaka 62Nchi ya hovyo sana.
Yaani mifumo ya Serikali inatulazimisha tuamini kwamba hatma njema ya Tanzania ipo mikononi mwa CCM
Upumbavu wa karne
Hao wa kwenye uhalisia watatoa maoni yao kwa hao wa "makaratasi" ndio wanyooshe maelezo. Hata bungeni la saba wataongea weee ila wanasheria ndio wanaenda kuuweka sawa muswada wa sheria ndio upitishwe. Huwezi weka laymen kuandaa andiko la kitaalamu. Hata ilani ya CCM iliandikwa na PhDs watupu same to CHADEMA tuliandikiwa na Bashiru Ally pamoja na PhDs wenzake.Hujaelewa hoja ya mtoa mada, ajakataa academicians, hoja wale wangebaki kwenye uchakataji wa mawazo ya wadau muhim na ambao wapo kwenye hualisia
Unamjua Dr Mduma? Umaarufu kaupata kwa tafiti anazofanya huko duniani tena ni practical. Nimekueleza kaandaa hadi mfumo wa kubashiri wajawazito mashuleni kutumia takwimu ili kupunguza school dropouts. From machine learning to Artificial Intelligence anatuwakilisha huko duniani na umri wake ni less than 40 unampuuzaje mtu wa hivyo!!Huyo Mduma ana uzoefu gani?Lecture wa chuo kikuu huyo Mduma
Mleta uzi analalamika uwepo wa hao lectures kama Neema Mduma
Wewe unamtetea huyo Neema Mduma,Una undugu nae huyo mwalimu ?
Badala ya kujibu hoja za kujaza akademician au walimu wa vyuo vikuu wewe unamtetea mwalimu mmoja wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha aitwae Neema
Profesa kabudi na Ossoro wa madini si ndio walimuingiza chaka JPM kwenye madini na sasa tunalipa?
Kabudi na Osoro walifanya kazi bila uhuru mfano Rais ameshasema tunaibiwa madini wasingeweza kuonyesha hatujaibiwa!! Na hii ni shida ya taasisi kufanya kazi bila uhuru. Ila watu wakipewa uhuru kama alivyosema Leo Mama Samia obvious watajimwaga wanavyoweza. Nadhani it's clear Mama Samia ni pragmatic kuliko JPM ndio maana licha ya kupinga katiba mpya ila bado kikosi kazi kikashauri katiba mpya ni lazima. Hayo yasingewezekana chini ya JPM otherwise angehukumu wanyongwe kwenye Live TV.Profesa kabudi na Ossoro wa madini si ndio walimuingiza chaka JPM kwenye madini na sasa tunalipa
Hali zao za kipato zipoje?Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Haaahaaaa ndio profile yake inasema hivyo na kwakuwa yupo TanTrade so anajua jinsi biashara zinavyofanyika na changamoto zilizopo kisheria na kiuchumi.Hahaha nimecheka sana
Haha entrprinuaaa😂
Oky
NCHI HII INA WAJINGA WENGI SANAMhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Yupo peke yake?Asha Rose Migiro!
Nchi hii nafasi ziko kwa connections, huna connection hata uwe na uwezo kiasi gani utapata tabu sana kufikia nafasi za hivyo. Hiyo mipango wanayopanga mingi ni nadharia ndio maana wanachaguana wa huko huko ushefani.
Issue watoto wa kishua hawajui shuruba za umasikini1. Mbona hawa wamo au hujamuona Rais wa Tanzania Startup association. Pia yumo Dk Neema Mduma ndio ali design mifumo ya machine learning kubashiri mabinti kuacha shule kisa ujauzito!!. So watu wa technology ni wengi humo. Pia wapo wajasiriamali mfano hapo Mgetta she's an entrepreneur pia board member Tantrade.
2. Why academicians? Dunia nzima kazi za consultancy na strategic plans hakuna watu better kuziandaa kuliko Academicians. Hawa laymen/wafanyabiashara wataitwa tu watoe maoni ila wanaoandaa draft zile have to be academicians maana wamebobea kwenye hizo mambo kwa miaka mingi.
Ambacho labda hakijakaa sawa kama ulivyosema ni balance ya wasomi vs kada zingine. Sema mpango wa taifa ni framework tu mfano watasema Huduma za afya kupitia bima ya wote. Sasa mpango wa miaka mitano mitano ndio utaeleza KIVIPI hiyo vision inatekelezeka.
4. Ila miaka yote tatizo sio uandaaji mpango ila utekelezaji. Mfano mpango wa 2015-2020 ulisema Tanzania nchi ya viwanda alafu wa 2021-25 unasema tumeshavuka kuwa nchi ya viwanda eti sasa tunafanya value addition ili kuuza nje na sio kuuza raw material kama zamani. Ni maneno ya karatasi tu ila hakuna hata kiwanda kimoja cha kueleweka hapa nchini mfano say magari, ndege, kuchenjua dhahabu n.k
Usomi wao, sio shida, shida ni siasa kuingilia Mambo ya kitaalamu,Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Mipango tunapanga mingi tu ila hapo kwenye utekelezaji ni kipengeleFrom vision 2025, 2025 inafika hamna umeme, hamna maji, mafuta bei, bando bei, so tunahamia vision 2050..😂hii nchi hii
Ndio Yale Yale ya "Wizara ya Wanawake" kuongozwa na "Waziri Mwanaume."Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
A failed process! wote waliochaguliwa ni digital immigrants that s one, two pamoja na hali ya ustawi na exposure waliyo nayo hawajawahi hata mmoja kuanzisha consultancy firm km ile WAJIBU ya Mzee Utto ili kutransfer knowledge yao kwa faida ya nchi, kutengeneza ajira kwa vijana nk..hadi umri huu bado wanataka mbeleko ya viposho vya serikali, elimu na uzoefu wao wanautumiaje nje ya serikali?? tatu unategemea mtu km Semboja, Msambichaka tusome vitabu vyao current kwenye maeneo yao ya ubobezi au hata makala kwa faida ya nchi..HAKUNA KITU! unaanzaje kuamini watu wa aina hii kufanya jukumu zito km hili? makaratasi ya vyeti??? pathetic!Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu