Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

Mipango ya Tanzania ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga, itaanguka tu badae excuse na mafanikio ya kupika yanafata kujustify ulaji mwingine.Hii nchi ilipofikia sasa inahitaji default setting na hii itafanywa na wananchi wenyewe pale wataamuka kutoka katika usingizi na kuwaza yale yaliyo ya muhimu. Hayo mengine ni mabaraza ya kutafuna fedha za nchi na hayana majibu kwa matatizo ya nchi hii. Solution haiwezitoka kwa watu walewale waliotengeneza tatizo, hiyo ni tamthilia.
 
Hujaelewa hoja ya mtoa mada, ajakataa academicians, hoja wale wangebaki kwenye uchakataji wa mawazo ya wadau muhim na ambao wapo kwenye hualisia
Hao wa kwenye uhalisia watatoa maoni yao kwa hao wa "makaratasi" ndio wanyooshe maelezo. Hata bungeni la saba wataongea weee ila wanasheria ndio wanaenda kuuweka sawa muswada wa sheria ndio upitishwe. Huwezi weka laymen kuandaa andiko la kitaalamu. Hata ilani ya CCM iliandikwa na PhDs watupu same to CHADEMA tuliandikiwa na Bashiru Ally pamoja na PhDs wenzake.
 
Unamjua Dr Mduma? Umaarufu kaupata kwa tafiti anazofanya huko duniani tena ni practical. Nimekueleza kaandaa hadi mfumo wa kubashiri wajawazito mashuleni kutumia takwimu ili kupunguza school dropouts. From machine learning to Artificial Intelligence anatuwakilisha huko duniani na umri wake ni less than 40 unampuuzaje mtu wa hivyo!!
Profesa kabudi na Ossoro wa madini si ndio walimuingiza chaka JPM kwenye madini na sasa tunalipa
Kabudi na Osoro walifanya kazi bila uhuru mfano Rais ameshasema tunaibiwa madini wasingeweza kuonyesha hatujaibiwa!! Na hii ni shida ya taasisi kufanya kazi bila uhuru. Ila watu wakipewa uhuru kama alivyosema Leo Mama Samia obvious watajimwaga wanavyoweza. Nadhani it's clear Mama Samia ni pragmatic kuliko JPM ndio maana licha ya kupinga katiba mpya ila bado kikosi kazi kikashauri katiba mpya ni lazima. Hayo yasingewezekana chini ya JPM otherwise angehukumu wanyongwe kwenye Live TV.
 
Hali zao za kipato zipoje?
Asilogwe akaweka magabachori design ya Rostam Aziz watatuuza
 
Hahaha nimecheka sana

Haha entrprinuaaa😂

Oky
Haaahaaaa ndio profile yake inasema hivyo na kwakuwa yupo TanTrade so anajua jinsi biashara zinavyofanyika na changamoto zilizopo kisheria na kiuchumi.

Hao mama ntilie na boda boda wataombwa maoni ila hawa ndio waandishi tu
 
NCHI HII INA WAJINGA WENGI SANA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Watafute watu kutoka nje pia hasa mataifa ya Singapore, Vietnam, Malaysia, Korea Kusini, Taiwan, Hong Kong.
 
hao ndio wanamshauri vibaya bibi shangwe, maana hawajui yanayoendelea mitaani...wao kutwa kucha wanalindwa na askari kuzunguka na magari hata masokoni hawaendi, hawapandi daladala..yaani hao ni kama vipofu wa mambo yanayoendelea nchini..alafu ndio hao wanateuliwa kuandaa mambo ya msingi. Ndio maana wananchi wanazidi kupokea maisha magumu tokea kwa viongozi wa nchi...yaani viongozi wa nchi wamekuwa vinara wa kupeleka kilio kwa wananchi wao....maumivu na uchungu tele, wanapeana ulaji tu mambo ya msingi hawazingatii
 
Nchi hii nafasi ziko kwa connections, huna connection hata uwe na uwezo kiasi gani utapata tabu sana kufikia nafasi za hivyo. Hiyo mipango wanayopanga mingi ni nadharia ndio maana wanachaguana wa huko huko ushefani.



Na lobbing kama zote.

Ukiwa hana na presidential appointment,

Yani hata ndani ya taasisi za umma wakuu wa idara na vitengo nasikia ni kwa lobbing .

Sasa wenye uwezo ambao hawaamini ktk kufanya lobbing hawapewi nafasi za uongozi.

Unakuwa watu uwezo ni Mdogo lakini sababu anajua ku-lobby anakuwa kiongozi na mambo yanaenda bora liende.

Na nasikia kuna mambo ya kujitoa mwili, fedha, na kuahidi regular marejesho?!

Na mpaka mtu anafanya lobbing kwa kutoa hela, mwili na ahadi ya kukuletea regularly hivi Kwanini usijiulize huyo mtu hiyo nafasi analenga kufaidika nayo kibinafsi mabala ya kuzingatia maslahi ya umma tu?!

Kama ni kweli unategemea utendaji utakuwa wa kuridhisha kimaendeleo kweli?

Kwanini kusiwe na mfumo wa kutangazwa na mchujo wa wazi?
 
Issue watoto wa kishua hawajui shuruba za umasikini
 
Usomi wao, sio shida, shida ni siasa kuingilia Mambo ya kitaalamu,
Nimekutana na dokta mmoja, PHD, ni lecturer taasisi moja, jamaa, ana design electronic system, hatari, anakodishwa na makampuni makubwa duniani, kwa hapa bongo, wachina, kuwatengenezea na ku repair mifumo ya kielectenics, ya magari, mitambo, nk,
Wasomi ndio wanaoweza ku Jenga Sera kisayansi, x
 
Ndio Yale Yale ya "Wizara ya Wanawake" kuongozwa na "Waziri Mwanaume."
 
A failed process! wote waliochaguliwa ni digital immigrants that s one, two pamoja na hali ya ustawi na exposure waliyo nayo hawajawahi hata mmoja kuanzisha consultancy firm km ile WAJIBU ya Mzee Utto ili kutransfer knowledge yao kwa faida ya nchi, kutengeneza ajira kwa vijana nk..hadi umri huu bado wanataka mbeleko ya viposho vya serikali, elimu na uzoefu wao wanautumiaje nje ya serikali?? tatu unategemea mtu km Semboja, Msambichaka tusome vitabu vyao current kwenye maeneo yao ya ubobezi au hata makala kwa faida ya nchi..HAKUNA KITU! unaanzaje kuamini watu wa aina hii kufanya jukumu zito km hili? makaratasi ya vyeti??? pathetic!
Niwaambie kitu wanajf..nchi hii inaongozwa na watoto, yaani tumeachia watoto kuteua na kuwatuma watu wazima, nchi yenye umri wa miaka 62 wameachiwa amateurs kuongoza na wamefikaje hapo ni kupitia UCHAWA! Tanzania will end up as a failed state muda si mrefu..underline this statement!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…