Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.

real!!? sawa ngoja tusubiri je wa diploma post octoba au kuanza masomo?
 
ni kweli kwa vyou vya certificate sasa vitatoa irdinary diploma in education na chuo cha korogwe na kleruu watatoa advance diploma ya ualimu katka masomo ya physics na mathematics kuhusu kuanza masomo mwaka wa kwanza wataanza tarehe 6/10/2014
 
daah!!!!!
jaman mcjal kuusu izi mambo za selctn
aminin kwamba kama ipo ITAWADIA 2
n mpango ya lyf labda kuna jngne jambo kwa ajil ya......
 
ni kweli kwa vyou vya certificate sasa vitatoa irdinary diploma in education na chuo cha korogwe na kleruu watatoa advance diploma ya ualimu katka masomo ya physics na mathematics kuhusu kuanza masomo mwaka wa kwanza wataanza tarehe 6/10/2014
Ok ni vema..vip sifa za kujiunga ordinary diploma zitakuwa ni zipi au ni zilezile za zamani za basic certificate na za advance diploma nazo zitakuwaje
 
he! inamana huyu mwenye ka four ndo aanze kujipanga upya au cjaelewa.
 
kijana mbona unakashifu na wakati huo ndo ukweli sahau kupata chuo na kadivision kako ka four
ulisoma tangazo la wizara? Kumbuka kuna wenye div.4 32-34 wamesha anza kusoma katika private colleges...sasa wewe unataka kupindisha mambo au unatoka wizarani?
 
nafikiri ndo maana wakaamua kuanza kuchukua wenye ufaulu wa div. 1,2 na 3. ni mpango mzuri sn kama watauboresha
 
kijana mbona unakashifu na wakati huo ndo ukweli sahau kupata chuo na kadivision kako ka four

Mkuu ukibishana na chizi lazima ukubali kuvaa uchizi kidogo. Tangazo la NACTE lipo wazi kabisa na linaongelea diploma kwa primary na sec school na lini mafunzo yanaanza lakini watu hawaelewi. Sasa sijui elimu ndogo au ndo uchizi wenyewe!
 
ulisoma tangazo la wizara? Kumbuka kuna wenye div.4 32-34 wamesha anza kusoma katika private colleges...sasa wewe unataka kupindisha mambo au unatoka wizarani?

vyuo vya serikali mkuu!
 
japokuwa private washaanza bt kwa vyuo vya selikal vinasubiri mfumo mpya wa stashahada tu yaan hakuna grade A au cheti kwa vyuo vya selikal

huo ni uzushi mtupu usipende kuropoka vitu ambavyo hujavithibitisha, usisikie tu na ww ukaanza kuropoka, kwa taarifa yk mm nipo chuon hapa chuo cha serikali na wiki hii majibu yatatoka, walichelewa kwakuwa walikuwa wanaanda module za mafunzo rekebishi na waliokosa kidato cha5 awamu ya 2 wamepangiwa ualimu, mliomba cheti msipotoshwe
 
Ok ni vema..vip sifa za kujiunga ordinary diploma zitakuwa ni zipi au ni zilezile za zamani za basic certificate na za advance diploma nazo zitakuwaje

kwanza sifa za kujiunga lazima uwe na division one, two au three kwa o level au a level,bila hivyo huwezi kupata admission, lakini kwa wale wasio na siga wanaweza kuchukuliwa kisha watasima miaka mitatu badala ya miwili ikilinganishwa na ya awali,
 
Asante mkuu,,umenitoa wasiwasi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…