cha ukweli
Member
- Aug 18, 2014
- 67
- 5
kwel imetoka?
yameshatoka kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwel imetoka?
Kuna tetesi kuwa serikali imeacha kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti (certificate). Kuna taarifa kuwa wakuu wa vyuo vya ualimu (serikali) wameshatumiwa barua kuhusu hili. Walengwa wote fuatilieni hili kupata ukweli wake
Wale wa diploma subirini mpaka October
hiyo taarifa kakupa mama yako mdogo anayeliwa na kawa- mbwa
real!!? sawa ngoja tusubiri je wa diploma post octoba au kuanza masomo?
Ok ni vema..vip sifa za kujiunga ordinary diploma zitakuwa ni zipi au ni zilezile za zamani za basic certificate na za advance diploma nazo zitakuwajeni kweli kwa vyou vya certificate sasa vitatoa irdinary diploma in education na chuo cha korogwe na kleruu watatoa advance diploma ya ualimu katka masomo ya physics na mathematics kuhusu kuanza masomo mwaka wa kwanza wataanza tarehe 6/10/2014
hiyo taarifa kakupa mama yako mdogo anayeliwa na kawa- mbwa
ulisoma tangazo la wizara? Kumbuka kuna wenye div.4 32-34 wamesha anza kusoma katika private colleges...sasa wewe unataka kupindisha mambo au unatoka wizarani?kijana mbona unakashifu na wakati huo ndo ukweli sahau kupata chuo na kadivision kako ka four
kijana mbona unakashifu na wakati huo ndo ukweli sahau kupata chuo na kadivision kako ka four
ulisoma tangazo la wizara? Kumbuka kuna wenye div.4 32-34 wamesha anza kusoma katika private colleges...sasa wewe unataka kupindisha mambo au unatoka wizarani?
vyuo vya serikali mkuu!
japokuwa private washaanza bt kwa vyuo vya selikal vinasubiri mfumo mpya wa stashahada tu yaan hakuna grade A au cheti kwa vyuo vya selikal
Ok ni vema..vip sifa za kujiunga ordinary diploma zitakuwa ni zipi au ni zilezile za zamani za basic certificate na za advance diploma nazo zitakuwaje
huo ni uzushi mtupu usipende kuropoka vitu ambavyo hujavithibitisha, usisikie tu na ww ukaanza kuropoka, kwa taarifa yk mm nipo chuon hapa chuo cha serikali na wiki hii majibu yatatoka, walichelewa kwakuwa walikuwa wanaanda module za mafunzo rekebishi na waliokosa kidato cha5 awamu ya 2 wamepangiwa ualimu, mliomba cheti msipotoshwe