Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
wafungue tu blog yao hata kama haina post zetu sasa wanatukimbia nin, wanaleta ishu za watuwengine wakigombana na wachumba wao wanafungia watu wote simu. moevt sio mpango bwana fungueni blog yenu, si tumeshajua mmeshatuyeyusha
 
uliomba ile yakupewa ruzuku au mkopo kwa wanao omba kwa ngazi ya stashahada????
 
dah wizara inadaiwa wakuu majanga mpaka blog yao imefungiwa...
 
plz km kuna mtu aliapply stashahada ya ualimu ajitokeze hapa
 
yaaaaan hao wanatuumiza sisi wala wao hawana hasara ht kidogo inauma sana
 
Hope soon yatakuwa hewan usichoke subirri :llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…