SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
wafungue tu blog yao hata kama haina post zetu sasa wanatukimbia nin, wanaleta ishu za watuwengine wakigombana na wachumba wao wanafungia watu wote simu. moevt sio mpango bwana fungueni blog yenu, si tumeshajua mmeshatuyeyusha