Vigezo vifuatavyo vitatumika
kuchagua wanachuo wa kujiunga na
mafunzo ya ualimu mwaka 2014/15.
1: MAFUNZO YA UALIMU TARAJALI
NGAZI YA CHETI DARAJA A: MUDA
MIAKA 2
(i) Cheti Ualimu wa kawaida katika
vyuo vya Ilonga, Kabanga, , Kitangali,
Mandaka , Murutunguru , Ndala , na
Tarime
(ii) Cheti Ualimu Elimu ya Awali katika
vyuo vya Kabanga, Kinampanda,
Mhonda, Mtwara (U), Singachini,
Tandala, Tarime
(iii) Cheti Ualimu Elimu kwa michezo
katika vyuo vya Ilonga, Tarime, Ndala
na Mtwara (U)
Mwombaji awe:
Mhitimu wa Kidato cha IV kati ya
mwaka 2004 na 2013 mwenye ufaulu
wa kiwango kisichopungua Daraja la
III katika Mtihani uliofanyika katika
kikao kimoja. 2: MAFUNZO KABILISHI
NGAZI YA CHETI (BRIDGING
COURSE) KWA AJILI YA KUJIUNGA
NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA
CHETI:- MUDA MWAKA 1
Mafunzo katika vyuo vya ualimu
Bustani, Kinampanda, Mhonda,
Mpuguso, Mtwara (U), Nachingwea,
Singachini, Tandala, Katoke na
Sumbawanga
2
Mwombaji awe:
(i) Amehitimu wa Kidato cha IV kati ya
mwaka 2004 hadi 2012 na awe
amefaulu kwa kiwango kisichopungua
Daraja la IV kwa alama 26 au 27 (kwa
mtihani wa mwaka 2004 hadi 2012)
na alama 33 au 34 (mtihani wa
mwaka 2013) kwa mitihani iliyofanyika
katika kikao kimoja; na
(ii) Mwenye ufaulu wa angalau
kiwango cha D katika masomo ya
Sayansi, Hisabati, English na
Kiswahili katika Mtihani wa Kidato cha
IV.
Tanbihi: Watakaofaulu mtihani wa
mafunzo rekebishi wataendelea na
mwaka wa pili wa mafunzo ya ualimu
ngazi ya cheti Daraja A 3: ELIMU
MAALUM: MIAKA 2 katika chuo cha
Patandi:-
Mwombaji awe:
(i) Mwalimu wa Daraja A mwenye
uzoefu wa kazi ya Ualimu kwa muda
usiopungua miaka miwili.
(ii) Mwenye ufaulu angalau somo
moja la Sayansi katika Mtihani wa
Kidato cha IV.
Tanbihi:Walimu wanaofundisha Elimu
Maalum hata kama hawana mafunzo
maalumu ni sifa ya nyongeza
(uthibitisho uambatishwe