Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.

kwann mwaka huu serikal imeamua kufanya hivyo wakati mwaka jana walianza kuripot tar 15/8/2013 au serikal imejisikia kufanya hivyo bila sababu ya msingi kwan mpaka mwez wa 9 wengine watakuwa ni majambaz tayar
 
hv taarifa ya wizara ya elimu kitengo cha ICT inasemaje kuhusu kutopatikana kwa tovuti yao, maana ni mda mrefu tangu itoweke hewan. anayejua atumbie
 
Vipi kuhusu UDOM special program ya diploma in science with education?
 
Eeeh mungu wetu muweza wa yote tunaomba sisi wanao tunao subilia post za ualimu majina yetu nasi yaweze kutoka amgalau tuweze kuona nuru cz tupo kitaaa maisha magumu tukilala tukiamka ina kuwa ni afadhali ya jana niwatakie uvumilivu mwema serikali yetu nayo inajua tunavyo lalamika umu ndani nakushukulu ww unae soma ujumbe wangu
 

amen ila umekosea sio subilia ni SUBIRIA bhana
 

Mungu,,sio mungu
 
Wenye four walichaguliwa lkn walikuwa wanatakiwa elfu3 tu na wenye sifa walikuwa elf22, angalia competetion hapo na diploma walitaka watu elfu8 lkn hawakufikia walikuwa wa chache, kwahiyo wenye four kama ulikuwa sayansi na una alama D na kuendelea ww subir chuo, na alie kuwa Arts kama alifaulu eng, maths, bios na kiswahili pia usikate tamaa subir chuo. 0763246275
 
dah! serikal ituone huruma jaman tumechoka kukaa nyumban kama ni adhabu inatosha

pole ndugu,wewe endelea kuvumilia yatatoka tu, ila kukaaa nyumbani sio adhabu kwani kunawatu wako mahabusu kwa miaka kadhaa na bado hata kesi zao hazijasikilizwa.
 
Wale wenye four za 26 na 27 mlikua wapi miaka yote hadi mnabahatisha mwaka hu? Mnajuta sana, coz miaka ya nyuma mlikuwa mnachaguliwa na hizo four zenu sasahiv maji shingoni. Lkn msife moyo bado hamja chelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…