Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani
Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee!!. Kazi zingine zinadhalilisha utu wenu achieni vijana wamitaani njaa zenu isiwe tabu na kero kwa jamii. Hamjiulizi mbona madaktari, wanasheria, watu wa bank, watu wa TRA, watu wa DAWASCO, TPDC, TANAPA, TABASCO, TCRA, TRC, POSTA, WANAJESHI, hao wote hawajaomba why nyinyi tuu??