Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #21
, 😂😂😂😂Walimu ndo backup ya serikali, hata posho iwe ndogo kiasi gani walimu hawaachi kuichangamkia ndo maana serikali ikiwa na jamno linalohitaji watu wengi iwe kwa bure au kwa malipo kidogo basi wana uhakika na hili chimbo lao hahahahahah!