OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Return of MV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, lakini hapo mwisho, binafsi naona umechanganya TAALUMA na MASHIRIKA..!! Madaktari au wansheria ni wana taaluma, lakini DAWASCO, POSTA etc. Kuna mwalimu yupo jeshini anafundisha shule ya jeshi, na wengine ni wanajeshi pia.Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani
Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee!!. Kazi zingine zinadhalilisha utu wenu achieni vijana wamitaani njaa zenu isiwe tabu na kero kwa jamii. Hamjiulizi mbona madaktari, wanasheria, watu wa bank, watu wa TRA, watu wa DAWASCO, TPDC, TANAPA, TABASCO, TCRA, TRC, POSTA, WANAJESHI, hao wote hawajaomba why nyinyi tuu??
Teacher umecharukaWw senge sana waache walimu km.vp na ww ungeombwa unafir....
Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani
Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee!!. Kazi zingine zinadhalilisha utu wenu achieni vijana wamitaani njaa zenu isiwe tabu na
Hayo maneno yake ya shombo alihama nchiKimbilio la waliofeli ni ualimu na upolisi - Roma Mkatoliki
Mkuu we ni mwalimu au polisi?Hayo maneno yake ya shombo alihama nchi
Ni suala la kuamua tu walimu waliamua kuomba kosa lao ni lipi kupata au?Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani
Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee!!. Kazi zingine zinadhalilisha utu wenu achieni vijana wamitaani njaa zenu isiwe tabu na kero kwa jamii. Hamjiulizi mbona madaktari, wanasheria, watu wa bank, watu wa TRA, watu wa DAWASCO, TPDC, TANAPA, TABASCO, TCRA, TRC, POSTA, WANAJESHI, hao wote hawajaomba why nyinyi tuu??
Kwani walimu ndio walizuia vijana wa mtaani wasipate nafasi ya waandikishaji? Lakini pia zipo nafasi za BVR operators, nazo pia vijana wa mtaani wamezuiwa na walimu?Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani